Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Mwigulu, jamaa anatisha wenye ndoa zenu kaeni macho
wabishi mara zote hutengeneza majibu na kuyaamini mimi niliyeko huku nsona buguvugu liko ktk vyuo tu kule mtaan watu naona jammaa wanamfurshis tu. Jamaa naye anafaham saikolojia kilala alikunywa na losholo
Mopa
Kilala alikunywa loshoroo lini? Nauliza maana jana na leo tu ndio siku ambazo sijakuwepo kilala ndani ya wiki mbili hizi.
Usemayo kuhusu kikatiti sitobisha sana sina ushahidi lakini ndio pahala pekee palipo na lami palipobaki kukumbatia CCM (hata maandamano yale ya last year walifanyia hapo hawakugusa sehem ingine arusha).
Mwigulu weza kuwa ana dawa au whatever usemavyo lakini Mheshimiwa si kweli kwamba anaeza kuwapa CCM ushindi East Meru. Mimi ni mzaliwa wa hapa, napajua vyema sana na sote tunajua marehemu Sumari (R.I.P) alipitaje pitaje, ukwe ndio ulimtoa na kura za Ngaboboo.
Sote tunajua alivowakosea shukrani wameru kwenye zile ajira za AFGEM.
Tunajua mwanaCCM mwenzie bwana Kimaro alichowafanyia wameru (huyu alilipwa pale pale).
Unakumbuka maneno ya Washili (wazee wa koo za kimeru) juu ya Marehemu (R.I.P) baada ya matokeo. Na wale wazee wanaheshimika sana na maneno yao ni sheria.
Tetesi juu ya mteule wa CCM kugombea jimbo ni E. Kaaya, Huyu jamaa hatomweza kijana Nassary.
Mwigulu hatoweza, labda aende makambini karamu estate, kwa bwana mdogo, hortanzia etc (hao wengi hawana hata kadi).
East Meru ni Mali Ya Chadema mpaka sasa kwa hali ilivyo.
Nakubali kurekebishwa au kukosolewa
Iache ngano na magugu vikue pamoja mpaka hapo atakapokuja Bwana wa Mavuno.
Usafi wa dume la mende barabarani lakini analala juu ya kinyesi..
hizi comment zinafanana sana na jina lakoWakuu nipo hapa Arusha siku ya 4 sasa na nimetembelea sehemu kadha wa kadha. Hakika CCM wako vizuri sana kwani baada ya Bw. Mwigulu kupita huku, vijana wamerhamasika kupita kiasi na wengi wamerudisha kadi zao za CDM. Pita maeneno ya Kikatiti, maji ya chai,Usa, Leganga, Kilala, King'ori, Ngarenanyuki,, kwa Pole, Maroroni,Ngurdoto kote hukpo wimbo ni CCM tu. Si dalili nzuri kwa upinzani hasa kuelekea uchaguzi mdogo