Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,898
- 7,526
- Thread starter
- #21
Mke wa mtu sumu Mdogo wangu...siku ukikutwa na huyo mke wa mtu huko Zanzibar ukiwa unakaribia kukata roho kwa kupigwa shaba utanikumbuka utasema dah kweli brother felakuti alinionya..Usinambie hapo huwelewi an upo upo tuu 😂😂😂