Kumbukumbu za ajabu.

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,542
2,165
Wakuu, heshima mbele. Kuna kumbukumbu za ajabu zinanijia kila mara,
1. Ugomvi katika ndoa umepungua sana, watu wanazipenda sana familia zao, wanakaa na wake zao nyumbani wakati wa jioni wakipiga soga.
2. Ile ya kule bar kusema "unanijua mi ni nani" kwisha. Watu washajulikana.
3. Lete kama tulivyo, imepaa angani.
4. Kuku hazikamatiki.
5. Makanisa na misikitini vijana sasa wanajazana.

Kinyume chake ni sahihi, ni mimi
Pangu Pakavu.
 
mkuu kwahiyo unataka kusema ile tabia ya MUPE MURUKE imekwisha sehemu za starehe?kweli tunaisoma namba
 
Watu wanahama sehemu zenye kodi kubwa za nyumba kuelekea kwenye nafuu.
Bei ya chumba kimoja Sinza unalipia vyumba viwili vikubwa zaidi sehemu nyingine.
Magu noma sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom