N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 6,827 9,535 Apr 28, 2020 #2 Hivi huyu Chambi Chachage ni mwanae Sethi!? Namkumbuka huyu prof aliaga wakati nikiwa kinda tu udsm Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu Chambi Chachage ni mwanae Sethi!? Namkumbuka huyu prof aliaga wakati nikiwa kinda tu udsm Sent using Jamii Forums mobile app
Peramiho yetu JF-Expert Member May 25, 2018 5,304 14,914 Apr 30, 2020 #3 Nadhan n mdogo wake yupo CHAMBI na mwingine BUKAZA sina uhakika Sana maana nilisimuliwa na jamaa maeneo ya MTWANGO NJOMBE ndio kwao na marehemu na alizikwa hapo N'yadikwa said: Hivi huyu Chambi Chachage ni mwanae Sethi!? Namkumbuka huyu prof aliaga wakati nikiwa kinda tu udsm Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan n mdogo wake yupo CHAMBI na mwingine BUKAZA sina uhakika Sana maana nilisimuliwa na jamaa maeneo ya MTWANGO NJOMBE ndio kwao na marehemu na alizikwa hapo N'yadikwa said: Hivi huyu Chambi Chachage ni mwanae Sethi!? Namkumbuka huyu prof aliaga wakati nikiwa kinda tu udsm Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app