Mpira wa Makaratasi ongeleeni kumbukumbu yenu, Naanza kuazima kiatu cha kushoto cha njumu kimeandikwa Maradona na nyengine nakumbuka Belo alikuwa tunampanga akija na mpira wake ule wa vipele akiringa tunaupiga pini hehehe(utani)
mpira huu ni mtamu balaa.
1. Ulipokuwa unaniacha hoi ni kuwa haukuwa na Refa, lakini mtu akishika panazuka ubishi mpaka kinaeleweka.
2. Mtu akikataa kufanyiwa Sub waala hawaumizi kichwa, itatolewa taarifa kuwa Companero nyama, basi kila akigusa mpira analambwa mtama.
3. Magoli yake ni ndala lakini kuna kipimo kwa juu ambacho hakionekani, na mpira ukipita kwa juu basi zengwe minal ubishi unaanza upyaa.
4. Hakuna hesabu maalum ya wachezaji.
Leo mnaweza kucheza 10 kwa 10.
Kesho 13 kwa 13
Yaani alimradi tu.
5. Mpira ukitoka unagombewa.
Atakaeuwahi ndio atakaeurusha.
6. Ndundi lazima.
7. Mpira kabla kuisha kuna tangazo la kuanza kuchezeana rafu.
Nk nk nk nk nk
4.

Mkuu ahsante sana, umekumbusha kunako. Hasa number 2&3. Hahaaaah Tushang'oa sana kucha. Fanya mchezo na ile sauti " msiniumizieeeee" .
Enzi hizo hata mazoezi ya pumzi huhitaji. Jaribu leo
mkuu hiyo namba saba imenikumbusha mbali sana.sisi tulikuwa tunaiita 'fungulia mbwa' hapo ni wababe tu walikuwa wanabaki yaani ukianzishiwa mpira golini kwako unaenda nao mpaka golini kwao hadi kipa anakukimbia!ukikutana na kipa mjanja anahamisha magoli(kipindi hicho magoli ni mawe au vijiti)mpira huu ni mtamu balaa.
1. Ulipokuwa unaniacha hoi ni kuwa haukuwa na Refa, lakini mtu akishika panazuka ubishi mpaka kinaeleweka.
2. Mtu akikataa kufanyiwa Sub waala hawaumizi kichwa, itatolewa taarifa kuwa Companero nyama, basi kila akigusa mpira analambwa mtama.
3. Magoli yake ni ndala lakini kuna kipimo kwa juu ambacho hakionekani, na mpira ukipita kwa juu basi zengwe minal ubishi unaanza upyaa.
4. Hakuna hesabu maalum ya wachezaji.
Leo mnaweza kucheza 10 kwa 10.
Kesho 13 kwa 13
Yaani alimradi tu.
5. Mpira ukitoka unagombewa.
Atakaeuwahi ndio atakaeurusha.
6. Ndundi lazima.
7. Mpira kabla kuisha kuna tangazo la kuanza kuchezeana rafu.
Nk nk nk nk nk
4.
mpira huu ni mtamu balaa.
1. Ulipokuwa unaniacha hoi ni kuwa haukuwa na Refa, lakini mtu akishika panazuka ubishi mpaka kinaeleweka.
2. Mtu akikataa kufanyiwa Sub waala hawaumizi kichwa, itatolewa taarifa kuwa Companero nyama, basi kila akigusa mpira analambwa mtama.
3. Magoli yake ni ndala lakini kuna kipimo kwa juu ambacho hakionekani, na mpira ukipita kwa juu basi zengwe minal ubishi unaanza upyaa.
4. Hakuna hesabu maalum ya wachezaji.
Leo mnaweza kucheza 10 kwa 10.
Kesho 13 kwa 13
Yaani alimradi tu.
5. Mpira ukitoka unagombewa.
Atakaeuwahi ndio atakaeurusha.
6. Ndundi lazima.
7. Mpira kabla kuisha kuna tangazo la kuanza kuchezeana rafu.
Nk nk nk nk nk
4.
Hahaha uzuri wa huu mpira unaweza kufanya tricks anazofanya Ronaldinho bila shida, ukipewa gozi hufanyi hata trick moja.
Mkuu nahisi tulicheza kiwanja kimoja, afu mmiliki wa mpira ilikuwa lazima apate namba na sometimes yeye ndo alikuwa anaamua nani acheze na nani asicheze, ilikuwa burudani sana. namkumbuka Jackson Mabeko
Hahahaha mkuu itakuwa umetokea uswahilini kwetu...... Anyway, uswazi kwetu ilikuwa noma kuna jamaa walikuwa wakinyimwa namba wanavunja vyupa uwanja mzima, mpira siku hiyo hakuna. Ukubwa wa goli unapimwa kwa miguu. Tobo bao unapigwa hadi uguse mti au mlingoti wa umeme/simu ndo unaachiwa. Dah mkuu umenimbusha mbali.