Kumbukumbu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

Kumbukumbu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

Mkuu mie navyofahamu Chadema walitengeneza CD ya mauaji ya Mwangosi na kumpa John Heche kuzunguka nayo Ulaya kuwaonyesha wazungu na kujipatia pesa lakini hakuna fungu lolote liloenda kwa mjane.

Cc: chama

Dogo acha kusoma vitabu vya Manyema.
 
Last edited by a moderator:
Dogo acha kusoma vitabu vya Manyema.
Umri wangu ni zaidi ya baba yako ipo siku utanikuta nyumbani kwenu asubuhi napiga mswaki nimejifunga kitenge cha bimkubwa wako ndiyo utaniheshimu.
 
Umri wangu ni zaidi ya baba yako ipo siku utanikuta nyumbani kwenu asubuhi napiga mswaki nimejifunga kitenge cha bimkubwa wako ndiyo utaniheshimu.
Una tigo..?
 
Dogo acha kusoma vitabu vya Manyema.
Si ajabu miaka hamsini baada ya kifo cha Mwangosi akatokea mtoto wake huyo Ritz na akaandika kitabu, Kifo cha Mwangosi na kudai ndiyo historia ya kweli iliyofichwa! Naam, ndio zao hizo! Halafu watatokea watu wataamini porojo hizo! Naam, ndivyo walivyo!
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA jifunzeni namna ya kufanya mikutano kwa Amani na kufuata sheria, ili kuzuia madhara kama haya kuwapata hata watu wasiohusika. Poleni sana wafiwa!
 
CHADEMA jifunzeni namna ya kufanya mikutano kwa Amani na kufuata sheria, ili kuzuia madhara kama haya kuwapata hata watu wasiohusika. Poleni sana wafiwa!

... Kwan We Choo, Chadema Ndo Wanamiliki Jeshi??
 
... Kwan We Choo, Chadema Ndo Wanamiliki Jeshi??

Mikusanyiko mingi ya CHADEMA haina Amani, niliwahi kuhudhuria mkutano wa CHADEMA hapa NMC Arusha enzi hizo, gari ya Polisi ikipita wafuasi wa CHADEMA wanaanza kuirushia mawe! sasa hapo mkitandikwa kuna kosa?
 
Mkuu mie navyofahamu Chadema walitengeneza CD ya mauaji ya Mwangosi na kumpa John Heche kuzunguka nayo Ulaya kuwaonyesha wazungu na kujipatia pesa lakini hakuna fungu lolote liloenda kwa mjane.

Cc: chama
Panapohitajika mzaha ni vema kufanya mzaha.. Kwa PUMBA ulizoandika hapa ulaaniwe na yote yaliyompata MWANGOSI nawe yakupate huko uliko.

Anayeweza kutamka maneno hayo uliyoyatoa ni yule tu anayeongozwa na IBILISI.
 
Kuna mwendawazimu anayetuhumiwa kupanga mauji ya Dr. Slaa ameibuka na kusema CHADEMA ndio waliomuua Daud Mwangosi kule Iringa. Hivyo kwa mujibu wa wendawazimu wake hao wanaoonekana pichani wakiutoa uhai wa Mwangosi kama vile wanaua nyoka, ni CHADEMA. Kamuhanda yeye baada ya mauaji ya Mwangosi, alipandishwa cheo!

attachment.php

Pembeni ni shangingi la RPC KAMUHANDA.

Hawana kesi ya kujibu; Hii ni TANZANIA pekee!.
 
Leo mida ya mchana nilikuwa pale hospital ya muhimbil nnje kwenye magazeti,na watanzania wenzangu tukijadili ile habar ya kukukamatwa makomandoo wa nepal,tukajikuta kila mtu akielezea namna ya majesh ya polisi ya nnch tulizofika zinavyojitahid kutumia akil nying baada ya nguvu nying katika kukutia hatiani.Tukajikuta tumezama kwenye mjadala kwanini jeshi letu la polis lisibadilike na likaanza kutoa picha ya polisi jamii wanayoihubiri mfano mtu anaitajika polisi pengne kutoa maelezo polisi wanatakiwa wamuulize kwanza mtuhumiwa kama anao muda wakati huo kwenda kujieleza,na sio kumlazimisha afike kituon muda huo.mi naamin one day tutakuwa na jesh zur la polisi iwapo watajifunza leo kupunguza matumizi ya nguvu nyingi kwa raia.r.i.p mwangosi
 
Umri wangu ni zaidi ya baba yako ipo siku utanikuta nyumbani kwenu asubuhi napiga mswaki nimejifunga kitenge cha bimkubwa wako ndiyo utaniheshimu.

CHADEMA jifunzeni namna ya kufanya mikutano kwa Amani na kufuata sheria, ili kuzuia madhara kama haya kuwapata hata watu wasiohusika. Poleni sana wafiwa!




attachment.php

MWANGOSI ALIUAWA KIKATILI NA POLISI

Unafiki wa Msalani na Ritz uzae kitu maishani mwenu.. Kama mletavyo kejeri katika mauaji haya nanyi yawafike haya mkiona kwa macho yenu.
 
rest in peace.. DAUDI mwangosi
 
Last edited by a moderator:
Polisi wanakodiwa na kuahidiwa kulipwa mamilioni ya pesa za mlipakodi/mwananchi/mlalahoi kwa ajili ya kuua raia wasiokuwa na hatia.
http://www.mwananchi.co.tz/hab...

Kuna mama wajawazito na watoto wadogo wanafariki hospitalini kwa kukosa huduma muhimu kwa kisingizio cha kukosa fedha lakini serikali inatumia pesa nyingi kiasi hiki kwa
ajili ya kuwaua wafuasi wa vyama vya siasa na waandishi wa habari.

Mashambulizi yapolisi dhidi ya CHADEMA na wafuasi wake ni mpango wa kishenzi unaosukwa na Chama Cha Magamba (CCM) na serikali yakeya kikauzu. Na jambo la kusikitisha ni kwamba badala ya kutumia bajeti ya chama hawa umbwa wa mafisadi wanalipwa mamilioni ya pesa za walipakodi kwa ajili ya kufanya kazi wanayotumwa na mafisadi.
http://www.mwananchi.co.tz/uch...

Watoto wa shuleza kata wanaketi chini kwa kukosa madawati, hawafundishwi kwa kukosa waalimu, na hawasomi kwa kukosa vitabu (wanaingia sekondari wakiwa hawajui kusoma wala
kuandika)! Lakini bado serikali hii ya mafisadi inatumia mamilioni ya fedha za
umma kiasi hiki kwa manufaa ya kuwafurahisha mafisadi! Ni lini hasa wananchi
mtaamka na kukataa upumbavu kama huu? Nchi ina matatizo lukuki badala ya
kuyashughulikia CHADEMA kana kwamba hili ndio tatizo kuu linaloisumbua nchi.

Jamani tuacheuchama katika hili na tujadili bila jazba. Inakuwaje serikali inachezea pesa za
umma na kuhatarisha amani ya nchi kama hivi huku tumekaa kimya?
Haya ni mauaji ya kulipwa. Serikali inayokodi watu kwa ajili ya kuua raia wasokuwa na hatia ni serikali ya kigaidi. Na wala tutakuwa hatujajosea kuiita hii seriakali kwamba ni yakwamba ni
serikali ya kigaidi. Inasikitisha kuona kwamba polisi wanakodiwa kwenda kuua
badala ya kwenda kuimarisha amani!

Mikono yaserikali hii ya mafisadi imejaa damu na hiyo damu haitapotea bure. Polisi
wakiitwa kwenda kulinda mikutano ya vyama vya upinzani, wanadai hawana nafasi,
lakini wakiitwa kwenda kuua na kulipwa posho, wako tayari kufanya hivyo! Hapa
pana tofauti gani na serikali ya kikoloni ikiyokuwa imejikita kwenye kuua tu?
Yaani polisi wanatumwa wakaue ili walipwe posho na wao wanashangilia kupokea
posho za damu? Tafakari, chukua hatua!
 
Back
Top Bottom