Mkuu
Ritz
Mimi ninavyofahamu tangu siku ya kwanza Chadema wanahusika na mauji yale; ule ni utaratibu waliotaka kutumia ili kupata support kwa wananchi; lengo lao lilikuwa kuhamasisha vurugu; Mwangosi (R.IP)kifo chake ni matokeo ya mpango wa Chadema ; hainingii akilini hata siku moja Slaa alazimishe kufungua tawi ambalo lilishapata ufunguzi rasmi; ajabu tawi lenyewe wanachama wake hawazidi hata 20; Chadema hawana aibu hata kidogo; wameuza kanda za Mwangosi basi hata kuijali familia wameshindwa? Unakumbuka yale mabomu waliyojifyatulia kina Lema na Mbowe? Yule maganga
Ben Saanane alidai ataleta DVD yenye ushahidi eti serikali inahusika iko wapi hadi leo?? Kunya unye mwenyewe halafu umsingizie jirani! lol!!