Kumbukumbu ya kusamehewa UKIMWI

Kumbukumbu ya kusamehewa UKIMWI

Binadamu wote tungekuwa kama huyo dada na mama Si ingekuwa poa sana ndugu kuna wengine unakuta wanajijua kabisa kwamba wana ugonjwa lakini ndo kwanza ving'ang'anizi kwa watoto wa wenzao jamani tuweni na huruma
 
Kuna dada mmoja hapa kitaa, mie ni mgeni ,huyu dada ni king'ang'anizi hadi kero, istoshe hana mshipa wa aibu ,juzi kati kaamua kusema live eti, nakupenda sana we mwanaume usie na huruma wala hupendeki, aaarrrrgghhhh!!, sipendagi mwanamke anayejirahisirahisi ,tetesi ni kwamba kaathirika na mpango mkakati wake ni kuutawanya ugonjwa kwa kadri awezavyo
 
Kuna dada mmoja hapa kitaa, mie ni mgeni ,huyu dada ni king'ang'anizi hadi kero, istoshe hana mshipa wa aibu ,juzi kati kaamua kusema live eti, nakupenda sana we mwanaume usie na huruma wala hupendeki, aaarrrrgghhhh!!, sipendagi mwanamke anayejirahisirahisi ,tetesi ni kwamba kaathirika na mpango mkakati wake ni kuutawanya ugonjwa kwa kadri awezavyo

Wako wengi sana mjini hapa type hzo. Na ukiwa soft huponi. Ni kutumia mpira kila shimo upitalo...usimwamini mtu kabsa, inatisha sanaa. Kuna wengine walivyo na hayo makalio yao kujinasua ni ngumu mno tehe.
 
Siku yako ilikuwa haijafika mkuu,ni kama vile kupata ajali ya gari wenzio wote wakafariki wewe ukapona bila ya hata jeraha.Acha zinaa kabisa that was a warning,tafuta mke uowe otherwise utakuja kunasa,huu ugonjwa kuukwepa kama ukiwa gonyagonya sio rahisi hata kidogo,utajifanya unavaa viatu lakini iko siku moja utaingia mahali kavukavu na huo ndio utakuwa mwisho wako na majuto kibao.
 
nikiona mada zinazohuru UKIMWI huwa nakosa amani.najikuta nawaza jinsi nilivyoukwaa.
 
Kwahiyo uhusiano wenu uliendeleaje?
Sa hivi ni marafiki mara nyingi naenda dukani kwao kununua nguo
Yeye na dada yake wanaelewana sana na mpenzi wangu nilienaye sasa iv
 
Tarehe kama ya leo 2012 naikumbuka baada ya binti Roda mtoto toka Mbeya kuamua kuniweka wazi jambo hili wazi. Ilikuwa ni kama bahati kwangu baada ya kumtongoza kwa muda mrefu na kufanikiwa kumnyaka japo kwa kulazimisha sana na hata ilipofika time ya kumuomba mzigo bado aliendelea kunikatalia.

Kiukweli nilimlazimisha sana tukifanya nae romance kwa wingi lakini kila nikitaka kuingiza alikataa katakata, nilisumbuka naye sana zaidi ya mara 7 namvua nguo lakini wapi, namchezea analegea macho lakini nikijitahdi hata kutaka kumbaka aliendelea kunikataa nifanye naemapenzi , sikuwahi kuwaza matumizi ya condom kipindi hicho na hii ni mpaka leo.

Sikuwahi kumtukana wala kudharau maamuzi yake. Alinipenda kwa kweli nadhani mabinti wote wapo hivo wana huruma sana akikupenda hataki kukuona ukiteseka
Nimekumbuka siku aliyoniita na kunieleza ukweli kuwa yeye ni muathirika alimbukizwa na babu mmoja hukohuko kwao Mbeya na hakuhitaji kufanya makusud kunirushia ugonjwa,
niliishia kumshukuru.

Nafurahi kumwona mpaka sasa akiwa mwenye afya na anaendelea na maisha yake na biashara zake za kuuza nguo. Nampenda sana ni mwanamke mzuri kwangu
Bila shaka baada ya kujua ulitoka ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Siku yako ilikuwa haijafika mkuu,ni kama vile kupata ajali ya gari wenzio wote wakafariki wewe ukapona bila ya hata jeraha.Acha zinaa kabisa that was a warning,tafuta mke uowe otherwise utakuja kunasa,huu ugonjwa kuukwepa kama ukiwa gonyagonya ni rahisi sana ,utajifanya unavaa viatu lakini iko siku moja utaingia mahali kavukavu na huo ndio utakuwa mwisho wako na majuto kibao.
Na wakati mwingine viatu huvuka pia.
 
Pole sana Mungu akutie nguvu maadam unafahamu fuatilia namna ya kuishi nao usikate tamaa
 
Back
Top Bottom