Doswe Dossena JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 314 Reaction score 557 Feb 22, 2018 #1 Leo katika Historia... Siku ya tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1965 Ni siku aliyeuawa mwanaharakati Mashuhuri duniani wa kupigania haki za watu weusi(akina sisi).. Malcolm X, kwa kupigwa risasi 15-17 kifuani.... Andika chochote unachojua kuhusu huyu jamaa..
Leo katika Historia... Siku ya tarehe kama ya leo mnamo mwaka 1965 Ni siku aliyeuawa mwanaharakati Mashuhuri duniani wa kupigania haki za watu weusi(akina sisi).. Malcolm X, kwa kupigwa risasi 15-17 kifuani.... Andika chochote unachojua kuhusu huyu jamaa..
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,353 Reaction score 1,885 Feb 22, 2018 #2 Huyu jamaa hakuwa mnafiki wala muoga juu ya watesi wake, alikuwa tayari auwawe ila watu wake/weusi wayaishi na kumkumbuka kwa yale aliyoyaamini, Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa hakuwa mnafiki wala muoga juu ya watesi wake, alikuwa tayari auwawe ila watu wake/weusi wayaishi na kumkumbuka kwa yale aliyoyaamini, Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
Doswe Dossena JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 314 Reaction score 557 Feb 22, 2018 Thread starter #3 Mshughulishaji said: Huyu jamaa hakuwa mnafiki wala muoga juu ya watesi wake, alikuwa tayari auwawe ila watu wake/weusi wayaishi na kumkumbuka kwa yale aliyoyaamini, Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app Click to expand... sahihi kabisa, na ndio mana alipenda kuutukia msemo wake wa 'By Any Means Necessary'
Mshughulishaji said: Huyu jamaa hakuwa mnafiki wala muoga juu ya watesi wake, alikuwa tayari auwawe ila watu wake/weusi wayaishi na kumkumbuka kwa yale aliyoyaamini, Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app Click to expand... sahihi kabisa, na ndio mana alipenda kuutukia msemo wake wa 'By Any Means Necessary'
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,353 Reaction score 1,885 Feb 22, 2018 #4 Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana,
Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana,
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,589 Feb 22, 2018 #5 222218 Tunakukumbuka MX
Doswe Dossena JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 314 Reaction score 557 Feb 22, 2018 Thread starter #6 Mshughulishaji said: Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana, Click to expand... inaonesha mkuu upo vzr ktk historia ya huyu jamaa(Malcolm Little). itakuwa vyema ukitupa madini japo kwa uchache
Mshughulishaji said: Na akaukana kabisa msemo wa kama huwezi kupambana nao, basi ungana nao, yeye alisema atayasema kweli kwa namna yoyote ile iliyokuwa inamaana, Click to expand... inaonesha mkuu upo vzr ktk historia ya huyu jamaa(Malcolm Little). itakuwa vyema ukitupa madini japo kwa uchache