Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Jamani familia ya moses Nauye ni wakristo hata majina ya watoto wake baadhi ni wakristo kama joseph na winnie wakwe zake wote ni wakristo ila mke wake na baadhi ya watoto ni waislam . Ila mzee moses kwa asili ni mkristo
 
Namkumbuka sana BRIGEDIA GENERAL MOSES NNAUYE (R.I.P.)alikuwa mtaalam wa kupiga kinanda sijui ndo piano ile nilipenda sana kusikiliza upigaji wake kipindi tukiishi nyumba 10 Uzunguni.
 
Philipo nape ni mzigo mwepesi kwetu sis, na kama ni mzito basi kwako we we ccm
 
Samahani sana wanafamilia wa mzee Nnauye, pamoja na wanajamvi wenzangu. Nina swali nataka kueleweshwa kidogo. Kuuliza si ujinga. Hivi huyu Marehemu Mzee wetu alikuwa dini gani?

Mkristo Lutheran
 
Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi

Mbona lipo soma vizuri, watanzania kwa kukurupuka?
 
Jamani familia ya moses Nauye ni wakristo hata majina ya watoto wake baadhi ni wakristo kama joseph na winnie wakwe zake wote ni wakristo ila mke wake na baadhi ya watoto ni waislam . Ila mzee moses kwa asili ni mkristo
Alikuwa muislam kabisa sema tatizo ni njia ya kupata elimu ndio akabadilisha jina... hata Nape na muislam pia... NB 90% ya WAMAKONDE NI WAISLAMU
 
Dua yako imejibiwa mkuu
 
propaganda
 
UHALALI HUONDOKA PALE UNAPO WAFICHA KWA HUYO MKEO!
 
Nape ni mtoto wa baba yangu mkubwa.
Ambaye ni mwalimu mstaafu sasa.
Anaishi gongo la mboto huko.
As far as I know Nape ni mkristo na mngoni.
Ukoo wao ni akina HAULE.
Baba yake anaitwa Peter Haule.
khaaa!mara Mwandosya,mara Marope sasa tena Peter Haule!!!!! nani ndo sahihi??????
 
Hata hiyo Guts ya kumkabili EL aliyekuwa na nguvu za kutisha ndani ya CCM tosha kumdhirisha Nape kuwa jasiri bila kujali matokeo kama yalikua hasi au chanya kwa Nape mwenyewe au makundi hasimu ktk chama au serikali kwa ujumla, lakini kumkabili EL alivyokuwa ndani ya CCM na zingatia wakati huo alikiwa Waziri mkuu ilipasa kujitoa muhanga kweli kweli na ni jukumu ambalo hata JK mwenyewe alikuwa analikwepa kiaina ndio maana alkuwa anawashikizia watu jasiri kama akina Nape.
 
Siungi mkono hoja kwamba Mzee marehemu Col. Mosses Nnauye anapaswa kukumbukwa hata kuliko Mwl Nyerere, lakini Mzee Nnauye binafsi ana historia hasi inayojitegemea kivyake ukizingatia mchango mkubwa alioutoa nchini ktk kujenga umoja wa kitaifa tunaouona leo kupitia kazi na jitihada kubwa Mzee Nnauye alizofanya ktk Mass mobilization ndani ya TANU baadaye CCM wakati huo wa kabla ya demoklasia ya vyama vingi. Moja kati ya jukumu la kihistoria alilolifanya Mzee Nnauye lilikuwa ni zoezi la Ku mobilize na kuhamasisha upya Morali wa majeshi yetu kupigana ktk vita vya Kagera ambapo askari wetu walikusudia Ku turn back ktk operation ya Lukaya (kipigo cha Lukaya) kwa ujumla kwa wanaoifahamu historia ya nchi hii tangu awamu ya kwanza wanatambua kuwa Mzee Nnauye alikuwa ni miongoni mwa watu ambao Mwl Nyerere aliwaamini na kuwatumia sana. Kimsingi hayo masuala ya kisanii kupitia TOT nk aliyoyafanya Mzee Nnauye yalikuwa ni sehemu ya majukumu ya kawaida ktk Directorate of mass mobilization ya chama ambayo Mzee Nnauye aliisimamia kwa ufanisi mkubwa wakati wa uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…