Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,214
- 34,440
Sipatii picha hao jamaa waliokupa ridhaa ugombee kupitia chama chao kwa sasa wakiona mabandiko yako humu wanajiskiaje.
Sipatii picha hao jamaa waliokupa ridhaa ugombee kupitia chama chao kwa sasa wakiona mabandiko yako humu wanajiskiaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakiheshimu tu.
Ulikuwa unamchukulia poa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah, kumbe CHADEMA walikuamini na wakakupa nafasi ya kugombea Ubunge?