Ahahaaaa,mie nilikua nakua mlinzi(jwtz)pale getini.nakumbuka tulikua tunatengeneza bunduki za mabua na tunatengeneza singe za mwiba wa katani,ulikua ukijifanya wewe "jambakuzi"ilikua lazima ukutane na singe.
Pia nakumbuka tulitengeneza simu kwa kutumia nyuzi fulani hivi za manila zilikua zikitumika kufungia mizigo mizito pale kambini,tulitumia viberiti kuconect simu na tuliweza kufanya mawasiliano kwa umbali wa mita mpaka 300.ilikua raha sana.
Kukipikwa ubwabwa home basi siku hiyo unaoga mapema dar!!
Yani 1985-92 ilikua raha sana.