Kumbukumbu"" mbaya!

Kumbukumbu"" mbaya!

Kwani ni lazima kisa kiwe cha utotoni?

Siwezi kutoa cha ukubwani?
Naomba muongozo ndugu mwenyekiti.
 
Hii ya kupiga mtoto huchagui pa kupiga utaweza kuwa na kesi, Mimi wanalala chini harafu fimbo tu makebo yatafurahi ukishika umefuta,😀 nisije kupata kesi
 
kipind nikiwa darasa la saba kuna dem niliwah kumshika machuchu akanipelek ofsin.kipg nilichokipata nilipigwa mpaka miguu ikavimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom