Kumbukumbu: James '007' Bond wa kiafrika

Kumbukumbu: James '007' Bond wa kiafrika

Eti Bond, James "Akili kubwa" Bond! [emoji23]

Sie tuna vituko lakini nyie mmezidi aseh!, uzuri wenu sio waoga kabsaa, mnaendaga the full nine yards kama hivi sasa kufanya action movie ya bure! [emoji28]
Unamaanisha sisi majames bond au? Sshhh. Nipo undercover Nalendwa, hii si ile 'battleground' yetu ya kawaida. Am trying to blend in here. C'mon ongea in parables. Hahaha! [emoji38]
 
Unamaanisha sisi majames bond au? Sshhh. Nipo undercover Nalendwa, hii si ile 'battleground' yetu ya kawaida. Am trying to blend in here. C'mon ongea in parables. Hahaha! [emoji38]
Haki mnafaa kuwa Stunt doubles kwa actions kama hizi, he need to make this a career [emoji1]
Who knows may he can be the next Thomas 'Onyango' Cruise! [emoji16] [emoji125]
 
Haki mnafaa kuwa Stunt doubles kwa actions kama hizi, he need to make this a career [emoji1]
Who knows may he can the next Thomas 'Onyango' Cruise! [emoji16] [emoji125]
Movie kali sana hiyo. Omera my name is Cruise, Thomas Cruise, lakini anaeza niita 'Onyii' au Baba Obama, yaawaa! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Alikuwa mpuuzi tu kazi gani hiyo ya kujiumiza kiasi hicho
Wewe umesikia akisema ameumia? Hii ni hobby yake bana. Ubaguzi wa nini, mbona kwenye dondi hamliagi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Movie kali sana hiyo. Omera my name is Cruise, Thomas Cruise, lakini anaeza niita 'Onyii' au Baba Obama, yaawaa! [emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha!, Thomas Cruise, a.k.a Mr. 'Onyii' [emoji23]
Weekend inaenda vizuri so far Jirani! [emoji28]
 
Heheh!...so far so good Jirani. Hope it's the same on your side!
Yes. Tunadandia tu chopper ukifika zako home unadondoka tu, yaani kufa kupona. Siunajua chopper tu, hazinaga brakes. Hahaha 😀
 
Back
Top Bottom