Kumbukumbu: James '007' Bond wa kiafrika

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
13239248_10205090977073137_5053220705152022408_n.jpg
Mwenzetu alipodandia chopper kama daladala.
maxresdefault.jpg
Bye!!!:) Kakake mdogo, James 'Akili Kubwa' Bond naye hakuachwa nyuma. Kesho yake asubuhi aliibuka na mtindo mpya. :D:D
1495440-696x522.jpg
 
cHOPPER-696x421.jpg
Mwingine hapa naye alidondoka. Itakuwa huu mchezo ni mtamu kupindukia. Picha zote na video pia ni kuhusu vibwanga ambavyo vilitokea Kenya zamani kidogo.
 
raila-meru-james-bond-620x404.jpg
Huyu mfuasi sugu wa chama kutoka Meru alisema lengo lake lilikuwa ni kumpa musee hongera kwa kutoa hotuba nzuri sana. Hizi kampeni zinafaa ziwe kila siku ya wiki!
 
13239248_10205090977073137_5053220705152022408_n.jpg
Mwenzetu alipodandia chopper kama daladala.
maxresdefault.jpg
Bye!!!:) Kakake mdogo, James 'Akili Kubwa' Bond naye hakuachwa nyuma. Kesho yake asubuhi aliibuka na mtindo mpya. :D:D
1495440-696x522.jpg

Eti Bond, James "Akili kubwa" Bond!

Sie tuna vituko lakini nyie mmezidi aseh!, uzuri wenu sio waoga kabsaa, mnaendaga the full nine yards kama hivi sasa kufanya action movie ya bure!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom