figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru.
Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli.
Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19 Julai 2025 ni;
Una Wazo la kuwania Urais 2025 au huna? Hamu imekata?
Majibu yajikite kwenye maelekezo ya mtandao wa siri wa Mamlaka inayofanya kazi bila ya Uongozi wa kisiasa wa nchi.