Kumbukizi: Rais mbovu tunaweza kumvumilia kwa Miaka 10 tu si zaidi

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
Wakati huu ambapo nchi yetu iko katika mtanziko mkubwa Kiuongozi na Kimstakabali, si vibaya kurejea kauli za Wazee kama Msekwa...

Miaka miwili iliyopita, Mzee Msekwa alituusia kuwa Miaka mitano kwa Rais mbovu ni mingi mno na ni Mateso kwa nchi na raia, lkn ikibidi (au kama Umma haujitambui kama ilivyo TZ Bara) tunaweza kumvumilia kwa miaka mingine mitano - jumla 10, lkn si zaidi

Sikiliza:

Mzee ana wacheka tu ..ata haelewi mna ongea nini
clementsanga-20200512-0001.jpg

sijui itakuaje
 
Wakati huu ambapo nchi yetu iko katika mtanziko mkubwa Kiuongozi na Kimstakabali, si vibaya kurejea kauli za Wazee kama Msekwa...

Miaka miwili iliyopita, Mzee Msekwa alituusia kuwa Miaka mitano kwa Rais mbovu ni mingi mno na ni Mateso kwa nchi na raia, lkn ikibidi (au kama Umma haujitambui kama ilivyo TZ Bara) tunaweza kumvumilia kwa miaka mingine mitano - jumla 10, lkn si zaidi

Sikiliza:

Hatuwezi lazima tufanye kitu sasa. Tulikosea mahali 2015.
 
Sasa mabomu mabunduki mapolisi askari magereza wote wanakwenda kumpiga msichana huoni kuwa ccm ni aibu kwa taifa
Kuwapiga wanawake wale haikuwa sahihi kabisa.Na nyie tabia yenu ya kuwakimbia kikishanuka muache bwana.
 
Wakati huu ambapo nchi yetu iko katika mtanziko mkubwa Kiuongozi na Kimstakabali, si vibaya kurejea kauli za Wazee kama Msekwa...

Miaka miwili iliyopita, Mzee Msekwa alituusia kuwa Miaka mitano kwa Rais mbovu ni mingi mno na ni Mateso kwa nchi na raia, lkn ikibidi (au kama Umma haujitambui kama ilivyo TZ Bara) tunaweza kumvumilia kwa miaka mingine mitano - jumla 10, lkn si zaidi

Sikiliza:

Beyond that deep state inaingia kazini kumaliza mchezo
 
Back
Top Bottom