Njia rahisi ni kupita mbambo then ntaba mpka ndobo unaingia kasyabone lakin ukipita masoko mpka ukazungukie lufilyo mzeeBaada ya kupita Masoko, Mbaka, Landani na Mbambo siyo?
View attachment 957917
Pichani wa Tatu Kutoka Kushoto ni Rais wa Russia-Urusi Sasa Hivi Vladimir Putin,Aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machael na Rais wa Sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Wakiwa Bagamoyo Nchini Tanzania
Vladimir Vladimirovich Putin alizaliwa Saint Petersburg wakati huo ikijulikana kama Leningrad, October 7, 1952. Ni rais wa Urusi kwa sasa tangia May 7, 2012. Alikuwa waziri mkuu kuanzia 1999 mpaka 2000, raisi kuanzia 2000 mpaka 2008, na tena kushika nafasi ya uwaziri mkuu kutoka 2008 mpaka 2012. Katika kipindi chake cha pili cha uwaziri mkuu pia alikuwa mwenyekiti wa chama cha Umoja wa Urusi.
Baada ya anguko la Ujamaa, Ujerumani Mashariki, Vladimir alirudishwa Saint Petersburg ambako June 1991 alianza kazi katika Idara ya Mambo ya nje chuo kikuu cha Saint Ptersburg. Kazi yake kubwa hapa ilikuwa kuchunguza na kuchuja vijana wa kujiunga na KGB.

Alikua anawapa mafunzo wapigania uhuru hapo bagamoyohiyo picha ilipigwa mwaka gani?... by then putin alikuwa na cheo gani jeshini/kgb?.... nini kilimleta bagamoyo?
View attachment 957917
Pichani wa Tatu Kutoka Kushoto ni Rais wa Russia-Urusi Sasa Hivi Vladimir Putin,Aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machael na Rais wa Sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Wakiwa Bagamoyo Nchini Tanzania
Vladimir Vladimirovich Putin alizaliwa Saint Petersburg wakati huo ikijulikana kama Leningrad, October 7, 1952. Ni rais wa Urusi kwa sasa tangia May 7, 2012. Alikuwa waziri mkuu kuanzia 1999 mpaka 2000, raisi kuanzia 2000 mpaka 2008, na tena kushika nafasi ya uwaziri mkuu kutoka 2008 mpaka 2012. Katika kipindi chake cha pili cha uwaziri mkuu pia alikuwa mwenyekiti wa chama cha Umoja wa Urusi.
Baada ya anguko la Ujamaa, Ujerumani Mashariki, Vladimir alirudishwa Saint Petersburg ambako June 1991 alianza kazi katika Idara ya Mambo ya nje chuo kikuu cha Saint Ptersburg. Kazi yake kubwa hapa ilikuwa kuchunguza na kuchuja vijana wa kujiunga na KGB.
Mkuu Malcom, heshima kwako. Hiyo miradi yote ulioisema bado haijaanza kuzalisha FEDHA, ni miradi tarajiwa ambayo wana siasa wakibadirika na priorities zao nazo zinabadirika, mfano ni huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ulishika kasi sana Enzi za JK but huyu sio kiviiile!"Chinese trade and investment poured into Africa and helped to transform international perceptions of the continent’s prospects. China’s two-way trade with Africa grew twenty fold between 2000 and 2010, from $10 billion a year to $200 billion. That made China comfortably Africa’s largest trading partner.The biggest deals usually involved the minerals and natural resources that the Chinese economy was hungry for. The examples are legion: the Chinese National Petroleum Corporation’s purchase of 20 percent of anatural-gas field in Mozambique for $4.2 billion; a $23 billion deal for China to build three oil refineries and a fuel complex in Nigeria; the construction of the $1.8 billion Merowe Dam on the Nile in Sudan, the largest hydropower project in Africa; and a $24 billion project to transform the Lamu port in Kenya."
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~Gideon Rachman from the Economist Magazine~~~~~~~~~~~~~~~
1. Bado mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo itakuwa ndiyo kubwa chini ya jangwa la Sahara.
2. Bado gesi ya mtwara ambayo inahitaji zaidi ya Trillioni 30 ili kufanikisha uwekezaji.
3. Bado bandari yake ya huko Ddibouti.
4. Bado mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kule nchi Ethiopia.
NB: Yote hii ni miradi mikubwa sana ambayo mataifa ya Magharibi hayawezi kushindana nayo
Juzi Raisi Xi Jinpin kazua taharuki baada ya kusema anaikopesha dola za kimarekani bilioni 60 kwa ajili ya shughuli za maendeleo barani Afrika.Unahisi bado kuna taifa linaweza kushindana na Uchina hapa Afrika?
Some hapa: China raises fears of 'new colonialism' with $60 billion investment across Africa
Nakubaliana kabisa na wewe ndugu yangu, asilimia 100%Mkuu Malcom, heshima kwako. Hiyo miradi yote ulioisema bado haijaanza kuzalisha FEDHA, ni miradi tarajiwa ambayo wana siasa wakibadirika na priorities zao nazo zinabadirika, mfano ni huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ulishika kasi sana Enzi za JK but huyu sio kiviiile!