Kumbukizi: Putin na wenzake wakiwa Bagamoyo Tanzania

View attachment 957917
Pichani wa Tatu Kutoka Kushoto ni Rais wa Russia-Urusi Sasa Hivi Vladimir Putin,Aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machael na Rais wa Sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Wakiwa Bagamoyo Nchini Tanzania

Vladimir Vladimirovich Putin alizaliwa Saint Petersburg wakati huo ikijulikana kama Leningrad, October 7, 1952. Ni rais wa Urusi kwa sasa tangia May 7, 2012. Alikuwa waziri mkuu kuanzia 1999 mpaka 2000, raisi kuanzia 2000 mpaka 2008, na tena kushika nafasi ya uwaziri mkuu kutoka 2008 mpaka 2012. Katika kipindi chake cha pili cha uwaziri mkuu pia alikuwa mwenyekiti wa chama cha Umoja wa Urusi.

Baada ya anguko la Ujamaa, Ujerumani Mashariki, Vladimir alirudishwa Saint Petersburg ambako June 1991 alianza kazi katika Idara ya Mambo ya nje chuo kikuu cha Saint Ptersburg. Kazi yake kubwa hapa ilikuwa kuchunguza na kuchuja vijana wa kujiunga na KGB.
 
Picha nzuri kweli. Imenifikirisha vitu kadhaa miongoni mwake ni kwamba kweli Putin ni athletic hasa. kama kumbu kumbu yangu ipo vizuri, Samora alifariki miaka 32 iliyopita maana yake hii picha kamahaikupigwa mwaka 1986 basi itakuwa na miaka zaidi ya 32, lakini ukimuangalia Putin hapo (akiwa labda katika miaka yake ya 30, kama ilipigwa 1986 alikuwa na miaka 34) hana tofauti na Putin wa sasa. Maana yake hajabadilika miaka zaidi ya 30 tangu picha ipigwe, ni watu wachache sana(kama wapo) wanaoweza kuwa katika hali hiyo.
Pili nilitaka kumuuliza kwa mleta picha (au yeyote anayejua), ametuambia hii picha ilipigwa Bagamoyo, akiwepo Samora na Putin, hao wengine ni akina nani? Walikuwepo watanzania (kwenye hiyo Picha) ? Tuwajuwe basi.
 
"Chinese trade and investment poured into Africa and helped to transform international perceptions of the continent’s prospects. China’s two-way trade with Africa grew twenty fold between 2000 and 2010, from $10 billion a year to $200 billion. That made China comfortably Africa’s largest trading partner.The biggest deals usually involved the minerals and natural resources that the Chinese economy was hungry for. The examples are legion: the Chinese National Petroleum Corporation’s purchase of 20 percent of anatural-gas field in Mozambique for $4.2 billion; a $23 billion deal for China to build three oil refineries and a fuel complex in Nigeria; the construction of the $1.8 billion Merowe Dam on the Nile in Sudan, the largest hydropower project in Africa; and a $24 billion project to transform the Lamu port in Kenya."

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~Gideon Rachman from the Economist Magazine~~~~~~~~~~~~~~~

1. Bado mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo itakuwa ndiyo kubwa chini ya jangwa la Sahara.
2. Bado gesi ya mtwara ambayo inahitaji zaidi ya Trillioni 30 ili kufanikisha uwekezaji.
3. Bado bandari yake ya huko Ddibouti.
4. Bado mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kule nchi Ethiopia.

NB: Yote hii ni miradi mikubwa sana ambayo mataifa ya Magharibi hayawezi kushindana nayo
Juzi Raisi Xi Jinpin kazua taharuki baada ya kusema anaikopesha dola za kimarekani bilioni 60 kwa ajili ya shughuli za maendeleo barani Afrika.Unahisi bado kuna taifa linaweza kushindana na Uchina hapa Afrika?

Some hapa: China raises fears of 'new colonialism' with $60 billion investment across Africa
Mkuu Malcom, heshima kwako. Hiyo miradi yote ulioisema bado haijaanza kuzalisha FEDHA, ni miradi tarajiwa ambayo wana siasa wakibadirika na priorities zao nazo zinabadirika, mfano ni huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ulishika kasi sana Enzi za JK but huyu sio kiviiile!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom