PreGE2025 Kumbukizi; Mbunge Anatropia: Shida iko wapi Referee akiwa neutral?

PreGE2025 Kumbukizi; Mbunge Anatropia: Shida iko wapi Referee akiwa neutral?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
“…sasa leo kinachotokea kwa watu wa chama changu Chadema wanasema no reform no election mnajua imetoka wapi kwenye ile 4R ya mheshimiwa Rais ya tatu…hivi kwa watu kusema wanataka reform ni kosa? Mheshimiwa rais yeye ameridhia kwamba hii nchi kama taifa tuje pamoja tujadili mustakabali wa maendeleo yetu…leo tunawaweka ndani kwa sababu ya kutaka reform…”- Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest.

View attachment 3361744

Luca Mwashambwa Na machawa wenzakoo. Muelewe
Hahaha! Hatari sana. Kwani kuna mbunge hata mmoja humo bungeni alitegemea dada wa watu kuzungumza hivyo? Nahisi walikuwa wanatamani spika izimike kwa sababu wanajuaga wote ni mwelekeo mmoja! Dada wa watu kaona ajiondoe katika dhambi!l kabla bunge halijavunjwa hata kama ataukosa ubunge sawa tu!
 
Afadhali na wewe umenisaidia kupaza sauti labda itasaidia abadilike.
Kwa umri alionao Lucas Mwashambwa ni kitendo cha fedheha kwake na kwa chama chake kuendelea kukaa kwa baba yake.
Hata chumba cha elfu ishirini kinamshinda, hela zote hizo anazolipwa sh 7,000 kwa kila mara akichangia humu.
Mtoto wa kiume mama yako anakuona ukiwa umevaa taulo ukienda kuoga bafuni, mtoto wa kiume huwezi hata kumkaribisha mrembo kwako kisa huna kwako.
Wenzake wamchangie hata mawazo kina chiembe Tlaatlaah
Naona una-comment halafu unajibu
 
Hahaha! Hatari sana. Kwani kuna mbunge hata mmoja humo bungeni alitegemea dada wa watu kuzungumza hivyo? Nahisi walikuwa wanatamani spika izimike kwa sababu wanajuaga wote ni mwelekeo mmoja! Dada wa watu kaona ajiondoe katika dhambi!l kabla bunge halijavunjwa hata kama ataukosa ubunge sawa tu!
Ni kweli aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom