Kumbuka enzi hizo!

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Nakumbuka mbali kweli jinsi nilivyokuwa maana ilikuwa nikienda 2 kunyoa lazima kwa mbele nikate kdg"WAY..."
kiatu mzee lazima kiwe ni mokasi halafu kinakijiua fulani....
Nikivaa jeans doooo ndo usiseme....!
Hebu jikumbushie na wewe....mjini shule!
 
Tunavaa suruali za pekos, viatu vya raizoni na shati la skin tight. Nywele zinachanwa ki-afro!
 
Nakumbuka mbali kweli jinsi nilivyokuwa maana ilikuwa nikienda 2 kunyoa lazima kwa mbele nikate kdg"WAY..."
kiatu mzee lazima kiwe ni mokasi halafu kinakijiua fulani....
Nikivaa jeans doooo ndo usiseme....!
Hebu jikumbushie na wewe....mjini shule!
Hahahhaha.....I did that.
Ila kwasababu nilikua msichana nlikua likizo ikiisha nasawazisha nisije pigwa mkasi shule.
 
Halafu kuna huu ulikuwa usela wa kuvaa jeans unachomeka kitambaa kwa nyuma kinaninginia!
 
Mambo yetu yaleeeee, unapiga suruali ya mchelemchele na shati la ujiuji, kesho unabadilisha, unavaa jinzi ya mawingumawingu na shati la juliana (nyuma lina mwewe).
Chini lazima upige raba mtoni
 
Mambo yetu yaleeeee, unapiga suruali ya mchelemchele na shati la ujiuji, kesho unabadilisha, unavaa jinzi ya mawingumawingu na shati la juliana (nyuma lina mwewe).
Chini lazima upige raba mtoni

hahahahaha hizo zilikuwa zinaitwa SAVCO!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom