englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Gwaride linakaguliwa,
Katika picha
1. JK Nyerere,
2. AA Karume,
3. AK Hanga,
4. RM Kawawa
Nyerere mjanja sana always alikuwa akimuweka Karume kushoto kwake. Wale wa mambo ya bwana na bibi harusi watanielewa.
Wale wanaobisha kuwa Zanzibar haijaolewa na kidume Tanganyika poleni sana ila nawashauri muangalie hiyo picha kwa jicho la tatu.