juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni yetu".harafu huyu Ruge akiambiwa huwa anakataa kwamba yupo nyuma ya baadhi ya wasanii.ni safi lakini maana anajua kuisaka hela,means Zali aligeuzwa ni fursa hapo