The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.Jibu hoja kijana kama watu million moja wamepewa 200billion kutoka kwenye 1.3Trillion,Je watu 4 wanapaswa kupewa kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.3Trillion?
Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.
Zanzibar ni Nchi sio mkoa,ina taasisi zote za kiserikali kama huku Bara,,hakuna mkoa wenye taasisi za kiserikali na unaojiendesha .
Kama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.Mgawanyo unafata hadhi ya Eneo au idadi wa watu? Ingekuwa hivyo pesa zote zingeishia Dar.
Zanzibar ni Nchi sio mkoa,ina taasisi zote za kiserikali kama huku Bara,,hakuna mkoa wenye taasisi za kiserikali na unaojiendesha .
Hiyo idadi ni ya nchi gani?Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Sio mkoa bali ni nchi iliyopokwa uhuru wake, mbuzi wewInawezekanaje mkoa mdogo kuliko hata Pwani ukapokea madolari mengi namna hiyo? Ndugai for presidency 2025!
Hata wao Zanzibar wanataka hivyo ila Bara ndio mnawabania.Kama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.
Zanzibar ni kama popo mara ni ndege mara nimnyama.
Kopeni wenyewe mlipe wenyewe acheni kuitumian tanganyika kamamdhamini.
na mlipaji wenu.
Wachukue tu hiyo hadhi yao huko walikoitupa. Tumechoka kubeba rumbesa. Mtu kanchi kana watu maximum 2M kanakula bilioni 200 wakati Dar imekula bilioni 3 yenye watu milioni 7! Huu ni ujinga mwingine kutoka huko kwenye lichama lenye vichwa maji.Zanzibar ilijivua mamlaka yake kama nchi huru kwa ajili ya kuunda taifa jipya la Tanzania, sasa inapotokea kuwepo kwa mgao kama huo wa fedha za mkopo tusisahau pia wenzetu Zanzibar waliacha sovereignty yao kwa ajili ya muungano huu kwa hiyo tuwe na kuvumuliana ili taifa letu lisonge mbele, hata fedha hiyo yote ingekuja bara na Zanzibar wasipate hata senti bado shida zetu hazitamalizika.
Kwanza nusu ya mapato ya utalii Tanzania yanaingia via TRA ya ZanzibarZanzibar ilijivua mamlaka yake kama nchi huru kwa ajili ya kuunda taifa jipya la Tanzania, sasa inapotokea kuwepo kwa mgao kama huo wa fedha za mkopo tusisahau pia wenzetu Zanzibar waliacha sovereignty yao kwa ajili ya muungano huu kwa hiyo tuwe na kuvumuliana ili taifa letu lisonge mbele, hata fedha hiyo yote ingekuja bara na Zanzibar wasipate hata senti bado shida zetu hazitamalizika.
Siyo bara. Sema CCM labda na ZittoBaba wa taifa ndo aliyaweka Haya Sio huko tu mpaka kwenye ajira ni 21-79 mengi wanafaidi lakini Huu Muungano unahitajika sana na Bara kuliko wanavouhitaji ndo maana unalindwa kwa gharama yoyote
Kwan mmelazimishwa kuing'ang'ania kuikolonia? Wabara ndo munaikilonia kwa mgongo muungano wao hata hawawahitaji, bebeni tu zigo mlojitwikaWachukue tu hiyo hadhi yao huko walikoitupa. Tumechoka kubeba rumbesa. Mtu kanchi kana watu maximum 2M kanakula bilioni 200 wakati Dar imekula bilioni 3 yenye watu milioni 7! Huu ni ujinga mwingine kutoka huko kwenye lichama lenye vichwa maji.
😲😲😲 Zenji idadi ya watu ni B 1 ?Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Kuna sheria za kigawana mikopo na misaada tukasome inasemaje Ili tuache kuhoji kwa hisiaHiyo pesa ni nyingi sana
Dar es Salaam ina watu wengi kuliko Zanzibar lakini hawajapewa hicho kiasi
Tuambie wewe mzenji kwanini ndege zilizo agizwa zipelekwe mbili kuwa mali ya zanzibarMajitu yana chuki Sana na Samia,vinatafutwa visingizio vya kijinga mara anateua Waislam,mara anapendelea Zanzibar,mara Urais umemshinda,saiz wako na single mpya mara ana homa ya 2025 hajiamini ,mara serikali ya mpito.
Yaani yote haya ni wivu kwani ana wa outperform kwenye kila sekta
Mkuu wala usipate taabu. Kama una ubavu badilisha Katiba. Kwa mujibu wa katiba ili Zanzibar ikope lazima idhini yaKama ni hadhi kwanini wasifanye nusu kwa nusu tuelewe hyo hadhi.
Zanzibar ni kama popo mara ni ndege mara nimnyama.
Kopeni wenyewe mlipe wenyewe acheni kuitumian tanganyika kamamdhamini.
na mlipaji wenu.
Wewe mzenji omba muombe sana shetani mama avunje muungano kabla ya kutimuliwa madarakani maana zanzibar mtakuwa na hali ngumu sana baada ya mama kutoka kitini note my wordAcha upunguani wako wewe,unajua hata bajeti ya serikali ya Zanzibar wewe?
Kwa hiyo kumbe ukabila ndio unawasumbua? We ni kenge kweli kweli,mnufaika wa Muungano ni anayemlalamikia sasa.Wewe mzenji omba muombe sana shetani mama avunje muungano kabla ya kutimuliwa madalakani maana zanzibar mtakuwa na hali ngumu sana baada ya mama kutoka kitini note my word