Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,606
Waendelee kujifariji kwa maneno hayo hayo yakujiona wao ni Wayahudi....
Sure kaka,yaani kila jamii inajifanya ina connection na jews....hadi wa-igbo,sijui waemba,etc....hata wakiwa hivyo hamna justification ya wao ku-treat other human beings kama animals....kutokea ethiopia sio kweli kwamba ni jews,walete evidence hapa,dna matchings nk....hii kasumba ya kujikomba kwa mwenye nacho mbaya sana,wajipange....kama wao ni jews na wambulu jee?kila kabila utasikia jews related....pamoja na kujikomba kooote huko hamna haki ya kuonea wengine,porokodiomadona!
Wanacreate myth kuonekana bora hawana lolote. Ni mbari fulani ya wachunga mifugo kama wamasai kutoka kaskazini ya afrika milima ya ethiopia.Waendelee kujifariji kwa maneno hayo hayo yakujiona wao ni Wayahudi....