Kumbe watumiaji wengi wa JF hawajajiandikisha!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Currently active users 2186 (208 members and 1978 guests)

i1307_Activeusers.JPG

Users active in the past 24 hours: 4564 (478 members and 4086 guests)

i1308_2.JPG

Data assessed at 6.19 pm GMT +8, on 28th Dec 2009
Source: JF
 
Asante kwa takwimu Kiongozi..

Lakini ujue kuna watumizi wa JF ambao ni members, lakini wakati mwingine wanasoma bila ya kulog-in, kwa sababu binafsi..tena wa hivyo ni weengi sana...kUNA SHIDA MBALIMBALI BANA, wengine tunadaiana fedha hapa ndani, kwahiyo si lazima nilogi ati!
 
Hao wanaodaiwa walipe madeni yao...dawa ya deni ni kulipa!
 
Ukweli unabaki pale pale kwamba si lazima member anapoamua kuchungulia humu atalogin, na asipologin ataonekana kama guest. Kwa hiyo takwimu hizo si kielelezo cha status ya registration ya anayechungulia humu.
 
So?
 
Hata kama watakuwa Elfu kumi hao wasiokuwa Wanachama waache tu wachungulie ni bure kuwa wtu wachache wenye manuafaa zaidi ya kuwa watu wengi tena wenye hasara hao wasikuwa wanachama kazi yao ni kuangalia wanachama kitu gani wanachofanya Ehhh vizuri sana sio mbaya Tunaiombea JF izidi kuendelea vizuri na hao viongozi Mwenyeezi mungu ndio atakae walipa wema wao Aluta Continous Jamii Forum idumu Milelel Amina.
 
daima mbele siku zote
 
Kuna watu wengine ni mamemba...lakini somedays wanakuja kuchekicheki tu, hawajihisi kulogin na kuchangia mijadala....mie mmoja wapo. As long as wanajua kuwa wakija hapa kijiweni watapata nyuzi na mafunzo mbalimbali...basi nia ya JF imetimia....nasikia pia mkuu wa kaya huwa anakujaga hapa kuchekicheki....
 
tunashukuru kama msg zinamfikia....
 
hahah hii takwimu loh imetulia sana kumbe wachunguliaji ni wengi kuliko wanachama
 
Asante kwa takwimu Kiongozi..

Lakini ujue kuna watumizi wa JF ambao ni members, lakini wakati mwingine wanasoma bila ya kulog-in, kwa sababu binafsi..tena wa hivyo ni weengi sana...kUNA SHIDA MBALIMBALI BANA, wengine tunadaiana fedha hapa ndani, kwahiyo si lazima nilogi ati!

nimechekaaaa kupitiliza, engine tunadaiwa lakini tunaingia ki ubabe ubabe tu.....
 
Asante kwa takwimu Kiongozi..

Lakini ujue kuna watumizi wa JF ambao ni members, lakini wakati mwingine wanasoma bila ya kulog-in, kwa sababu binafsi..tena wa hivyo ni weengi sana...kUNA SHIDA MBALIMBALI BANA, wengine tunadaiana fedha hapa ndani, kwahiyo si lazima nilogi ati!
hahahaaaaa, mpwazzzz!
UMETOA MCHANGO WA HARUSI WEWE 13/02????
KAMATI ITAKUTAFUTA ASAP!!.
 
Back
Top Bottom