Kumbe watu wanamuelewa vizuri Kim kiduku

for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
3,394
4,430
WP_20170906_17_10_06_Pro.jpg WP_20170906_17_10_03_Pro.jpg
WP_20170906_17_10_06_Pro.jpg
WP_20170906_17_10_03_Pro.jpg
 
Attachments

  • WP_20170906_17_10_08_Pro.jpg
    WP_20170906_17_10_08_Pro.jpg
    115.1 KB · Views: 48
Siwezi ku-support hayo maamuzi ya kigaidi kila siku kutest makombora ya nuclear...wakati Hiroshima JAPAN hawataki hata kusikia maana kilichowapata wanakijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa.

Sasa mtu anashabikia ujinga huu, wakati hajui kwamba huyu kichaa anaweza kuwapa vichaa wenzake haya mabomu yakatufikia mpaka Tanzania huko.

Tushapigwa bomu ubalozi wa Marekani hapo. Hawa vichaa usifikiri wakipata uwezo wakupiga nuclear watakuwa na simile.

Halafu mtu anashabikia ujinga huu?
 
Sawasawa.

Sasa mtu anashabikia ujinga huu, wakatihajui kwamba huyu kichaa anaweza kuwapa vichaa wenzake haya mabomu yakatufikia mpaka Tanzania huko.

Diplomasia ina uwanda mpana sana hivyo majanga yakianza hayawezi kumuacha mtu salama.

Na ninachokiona hapa ni WW3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawasawa.

Sasa mtu anashabikia ujinga huu, wakatihajui kwamba huyu kichaa anaweza kuwapa vichaa wenzake haya mabomu yakatufikia mpaka Tanzania huko.

Tushapigwa bomu ubalozi wa Marekani hapo. Hawa vichaa usifikiri wakipata uwezo wakupiga nuclear watakuwa na simile.

Halafu mtu anashabikia ujinga huu?
Ubalozi Wa marekani si aliupiga marekani mwenyewe?
Najua angeweka picha ya Trump hapo mngekenua kwelikweli
 
Mkuu ww jinsia gani? Nahisi kama ww ni mwanamke....

Hapa hatuongelei hear say Bali tunaongelea vitu tunavyo vijua..
Kwahyo acha mizuka ya ovyo utaolewa
Unauliza swali, kabla hujajibiwa unajijibu mwenyewe kwa hisia.

Halafu unaendelea kusema kwamba hapa hatuongelei hearsay, tunaongelea vitu tunavyovijua (baada ya wewe kuongelea kitu usichokijua kwa kuhisi, jinsia yangu).

Unjishebedua tu.

Hujui umesimama wapi.

Hujui kamba unauliza swali ili ujibiwe na unayemuuliza au ujijibu mwenyewe tu bila kuuliza.

Hujui kama unaongelea hearsay na hisia tu, au uongelee vitu unavyovijua tu.

Hujui hata kujua ni nini.

Wewe ni guluguja usiye na uti wa mgongo wala ubongo.

Unajipeleka peleka kwa kujibiduabidua na kujishebedua shebedua tu ilimradi siku zisogee na wewe uonekane umenbwata uharo mdomoni hapa.

Hujui kamaunaenda au unarudi.

Unajikanganya kanganya kama an idiot.

Jipange upya.
 
Nmeshatambua ww ni mwanamke au kama ni mwanaume basi ww chakula..

Mkuu mm siongelei ushabiki kama ww Bali naongelea nayoyajua..
Kama ww unajua huwezi kuzungumzia mambo ya ugaidi ukaacha kuigusa marekani ambaye ndiye mfadhili Wa ugaid duniani kote
 
Unaongelea unayoyajua unajua hata kujua ni nini mavi ya Mgiriki koko wewe?
 
Mmmh! Haina shida dadaangi mm sna neno ila ktk dunia hii usidhan kila mtu yupo kama ww kuna wengne wapo hapo Ulipo Japo ww hujui kama wapo na vilevile kuna wengne wanajua kila linalotokea ktk dunia hii kwenye kila dakika ..
Kwahyo ww lala mstareheshe mmeo asije kukuacha , mambo ya ulimwengu waachie walimwengu
 
We ngumbaru jifunze kuandika kwanza kabla hujataka kujibizana nami.

Hapo umeandika uharo gani sasa?
 
Back
Top Bottom