Kwamba wao kwa wao pia wanajificha kwenye mambo ya kuji motivate sio?
Duh, bwashee wewe huna imani kabisa na wanawake, yaani umeshakubali kuwa mwanamke ni chombo cha starehe tu. Iwe kaolewa ama anakitengo sio?
Ila kwa wenzetu mambo ni tofauti mkuu kama ni gold digger ataonesha kabisa Atoka mwanzo, na ni rahisi kumpata. Ila kama ni high class woman utaweka mzigo wa dollar kadhaa ila utaambulia manyoya