Tamu chungu
Member
- Dec 20, 2015
- 85
- 64
haha ni wewe ndiyo wajidanganya, akikutext doesnt mean anakutaka umuoe or uwe mpenzi wake..she is just maintaining the friendship, or kama wewe hutaki mwambie or block her number.Kuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke.Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini chakushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Ntaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli.Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.
So unazani anakupenda eee? Huwajui vizur wadada wakileo hiyo ni mbinu ya kukuchota maela, soon atakukopa alafu utakuwa mwisho wakuona msg zake.
Muache soon atakuja mbio Analia hapa maana kila changamoto inayowapata wavulana lazima waje kulia jfhahah umeona eeh, koz dem kashaona hili jianaume fala sana , linatongoza mtu kakosea namba tuu af siyo mwaminifu kwa mkewe kisa uchi.... yanii anafaa akombwe tuu! anakuja kujisifia hapa et wanawake wanapenda danganywa...mxiiiieeew kauzi..
Mbona kama nawewe umepanic au ulishawahi kudanganywa?hahah umeona eeh, koz dem kashaona hili jianaume fala sana , linatongoza mtu kakosea namba tuu af siyo mwaminifu kwa mkewe kisa uchi.... yanii anafaa akombwe tuu! anakuja kujisifia hapa et wanawake wanapenda danganywa...mxiiiieeew kauzi..
Dooh..! Hatari sana.So unazani anakupenda eee? Huwajui vizur wadada wakileo hiyo ni mbinu ya kukuchota maela, soon atakukopa alafu utakuwa mwisho wakuona msg zake.
Mie napenda wale walio wa kweliUkitaka kula papuchi kiulainilaini kuwa muongo kwa wanawake
LoohHuenda anapenda muendelee kuchat kama marafiki lakini mahusiano endelea kwa mkeo.
Ukitaka kula papuchi kiulainilaini kuwa muongo kwa wanawake
hahhaha sanaaah, am a feminist, i hate it when a man brug about his stupidity and infidelity towards women. mtu ume mwambia ukweli kakukataa, mwache na mweshim ni maamuzi yake.Mbona kama nawewe umepanic au ulishawahi kudanganywa?
hahhaha sanaaah, am a feminist, i hate it when a man brug about his stupidity and infidelity towards women. mtu ume mwambia ukweli kakukataa, mwache na mweshim ni maamuzi yake.
and ooh yes nimesahau, tuko hapa kusifia wana ndoa ambao si waaminifu, sorry nimesahau kwelii, my bad!!!!!!! i withdraw my comments. mf.
hahah its unfortunate tumeumbwa hivyo, wanawake hu-vutiwa na kile tunasikia na wanaume huvutiw ana kile mnakiona... very unfortunate..Ukitaka kula papuchi kiulainilaini kuwa muongo kwa wanawake