Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
Waziri wa jinsia....njoo huku utoe tamko pliiiiz, wanaume wamedhalilishwa 😛Ni wanaume au jike dume...
Gazeti litutake radhi wanaume wote duniani
Wamedhalilishwaje? Sayansi haiongopiWaziri wa jinsia....njoo huku utoe tamko pliiiiz, wanaume wamedhalilishwa 😛
Kwa hiyo we unakubali BABA YAKO anapata hedhi kama wewe?Wamedhalilishwaje? Sayansi haiongopi
hahahahahhahaha kwani kwa wanawake inatokea wapi??Dah....nilivyosoma heading tu, swali la kwanza lilikuwa 'damu itatokea wapi'?......kumbe ni emotions zaidi.
Mr Rocky habari za Magu,hebu mshauri huyu mleta MADA aache kabisa kutudhalilisha wanaume,na kama kuna mapepo yamemuingia basi kwa jina la YESU yashindwe kabisa,yaani sisi wanaume na BALLS zetu tuingie hedhi? ama kweli hizi ni zama za mwisho.Hedhi hilo neno ni zito sana,yatakuja tokea MABWABWA humu yatamuunga mkono na kukiri ati huwa yanapata hedhi kwenye TIGO katika siku kadhaa za mwezi.EEEEEE MOLA MUUMBA UTUEPUSHA NA MAJANGA.Elli nimesoma nikaishiwa cha kusema maana duh ngoja nikajifanyie research maana ahhh ngumu kumesa
Waambie ndugu huu ni UDHALILISHAJI wa KIJINSIA,yaani huyo mleta MADA angekuwa karibu ningemzaba vibao,hana soni kabisaaaaa.Huku ni kuwakosea wanaume kwa makusudi hili gazeti lituombe radhi haraka sana
Unachokonolewa wewe sio bure.,,,,,,wewe unableed!!!?watakuwa wanaume wa dar
Mr Rocky habari za Magu,hebu mshauri huyu mleta MADA aache kabisa kutudhalilisha wanaume,na kama kuna mapepo yamemuingia basi kwa jina la YESU yashindwe kabisa,yaani sisi wanaume na BALLS zetu tuingie hedhi? ama kweli hizi ni zama za mwisho.Hedhi hilo neno ni zito sana,yatakuja tokea MABWABWA humu yatamuunga mkono na kukiri ati huwa yanapata hedhi kwenye TIGO katika siku kadhaa za mwezi.EEEEEE MOLA MUUMBA UTUEPUSHA NA MAJANGA.
ScienceWaambie ndugu huu ni UDHALILISHAJI wa KIJINSIA,yaani huyo mleta MADA angekuwa karibu ningemzaba vibao,hana soni kabisaaaaa.
Tatizo watu wanapaniki
BERKSHIRE, UINGEREZA
KIJANA mmoja wa kiume anayesoma kwenye chuo Kikuu cha Reading kilichopo kwenye mji wa Berkshire huko uingereza, ameushangaza ulimwengu baada ya kudai kuwa hata yeye hupatwa na hedhi anayoiita ‘hedhi ya kiume’.
Mwanafunzi huyo anayeitwa George Fellowes mwenye miaka 22, anasema mara nyingi rafiki yake wa karibu, Amber May Ellis anapokuwa kwenye siku zake na yeye hupata uchungu wa hedhi kila mwezi.
Uchungu huo anasema huwa mkali hadi kulazimika kuchukua likizo ya kuwa mgonjwa, kwenye mahojiano na Newsbeat, George amesema kuwa, “Nadhani ni jambo la kifikra kwa sababu sisi ni marafiki wa karibu sana na tuna hisia sawa,” amesema.
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita anasema kuwa amekuwa akipata uchungu wa hedhi na ishara hizo ni sawa na zile zinazowapata wanawake.
Alisema huwa anapata uchungu chini ya tumbo lake na katika kinena na kwamba huwa anajihisi vibaya na anakuwa mwenye hasira kwa marafiki zake na hisia za mhemuka huwa juu.
“Huwa sipendi kulia wakati huo lakini huwa na hasira nyingi, kuna kitu kimoja kinacho muathiri George hata hivyo sidhani kwamba wanaume wanaweza kupata hedhi bila kutokwa na damu. Wakati unapokuwa na rafiki wa karibu na mtu nadhani homoni zenu hufanana”.
Fellowes anaelezea kwamba wakati alipoanza kupata uchungu miaka mitatu iliyopita alitaka ushauri wa daktari wake. Lakini hakukuwa na maelezo hivyo basi alipewa dawa za kumaliza maumivu.
Kama Jinsia pinzani tu, tofauti hakunaHeee hivi kinena ni hata wanaume wanacho ? Kipo sehemu gani ya mwili wa mwanaume ?
Ndio naijuaUnajua maana ya hedhi (mp) kweli?
Lugha chafu za nini wakati umeshaambiwa issue iko kisayansi kabisa??Unachokonolewa wewe sio bure.,,,,,,wewe unableed!!!?
Huu mchezo hautaki hasira mkuuKwa hiyo we unakubali BABA YAKO anapata hedhi kama wewe?
"AKILI HUNA WEWE"