Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

Mkuu si kila inachosema sayansi basi ni kweli, yamesemwa mengi tu ya uongo na uzushi kwa jina la watafiti/wanasayansi.

Waingereza wengi ni mashoga, kati ya hayo yaliyohojiwa mengi hayana marinda hivyo yanajinyea hovyo na kudhani hiyo ndio period yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana mwishoni

Ila mwishoni wemesema hutokea kihisia hii na si kutokwa na kitu chochote mwilini
 
Yaani mimi niwe na period? Aaaaa hebu acheni utani.
Maelezo yanasema ni kipindi cha mabadiliko ya kihisia tu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimetoka kwenye thread inasema wanaume nao hubeba mimba... Yaani zile hisia za ujauzito... Nakuja huku, wanasema wanapata hedhi!!!
Sasa sio usawa huo!?
Siyo kupata hedhi Paprika nawe aaaah...
Tunakoelekea mtasema na wanaume kupigwa "mti" ni sawa tu.!
Ewe mleta mada Mungu anakuona ujue.!!!
Hapana hapana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu si kila inachosema sayansi basi ni kweli, yamesemwa mengi tu ya uongo na uzushi kwa jina la watafiti/wanasayansi.

Waingereza wengi ni mashoga, kati ya hayo yaliyohojiwa mengi hayana marinda hivyo yanajinyea hovyo na kudhani hiyo ndio period yao.
Kuna utafiti na upumbavu, huo wao hawa jamaa ni upumbavu. Hedhi sio mtu kukasirika, hedhi ni damu ya uzima anayotoka mwanamke, mbona watoto pia hukasirika sasa na wao wapo kwenye hedhi?

Huo ni upumbavu tu hakuna namna, hao wanasayansi tunawapa siku 14 wajiondoe wenyewe kwenye sayansi laaa sivyoooo, narudia tena laaaa sivyo watachukuliwa hatua na kifungo cha miaka 7
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana mwishoni

Ila mwishoni wemesema hutokea kihisia hii na si kutokwa na kitu chochote mwilini
Hawa watu kweli ni mashoga, wakijinyea mimavi iliyochanganyika na damu wanaona wapo period.

Hakuna hedhi ya hisia, hedhi huwezi kuihisi wanaweka pedi za nini sasa badala yakuzimeza kukabiliana na hisia.
 
Kuna utafiti na upumbavu, huo wao hawa jamaa ni upumbavu. Hedhi sio mtu kukasirika, hedhi ni damu ya uzima anayotoka mwanamke, mbona watoto pia hukasirika sasa na wao wapo kwenye hedhi?

Huo ni upumbavu tu hakuna namna, hao wanasayansi tunawapa siku 14 wajiondoe wenyewe kwenye sayansi laaa sivyoooo, narudia tena laaaa sivyo watachukuliwa hatua na kifungo cha miaka 7
Afadhali wewe umekasirika kwa niaba yetu mkuu.
 
Nimetoka kwenye thread inasema wanaume nao hubeba mimba... Yaani zile hisia za ujauzito... Nakuja huku, wanasema wanapata hedhi!!!
Sasa sio usawa huo!?

Ni upepo wa JF tu, we chunguza Topic moja ikianza na mwingine anaanzisha yenye muelekeo uleule, bado kuna zingine zitafuata kabla upepo haujarudi kwa Masingle mother
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom