Kwa Tanzania hizo alama ulizozitaja zinatumiwa na nani?vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
Ni vikatuni gani hivi?
Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?
Wajenzi huru!Kwa Tanzania hizo alama ulizozitaja zinatumiwa na nani?
Some1 here shud get a life pliz...
Yanini kumtukana mtu humjui hakujui..even if mnajuana ..mtafute mpe kavu ameze maji.. Ukimtukana behind ur screen inaonesha ndo what ure n what u do n everthn u do n wish for! Pliiz.
Live ur life n let them waishi maisha yao!!!
Period..
vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
Huyo wa kushoto si ndo mwanachama wa ule mtandao wa 0657?
...wanaikubaliii tu ,acha ubishi..vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'
Swts You have a point but kuna mengine mtu anajitambulisha mwenyewe... Tazama maandishi ya T-shirt aliyovaa jamaa wa kulia kama sikosei ni Mchovu jamaa wa redio mawingu,.. asa utamlaumu atakayemuongelea vibaya wakati mwenyewe anajitambulisha vibaya?Some1 here shud get a life pliz...
Yanini kumtukana mtu humjui hakujui..even if mnajuana ..mtafute mpe kavu ameze maji.. Ukimtukana behind ur screen inaonesha ndo what ure n what u do n everthn u do n wish for! Pliiz.
Live ur life n let them waishi maisha yao!!!
Period..
You meant life ban...Some1 here shud get a life pliz...
Yanini kumtukana mtu humjui hakujui..even if mnajuana ..mtafute mpe kavu ameze maji.. Ukimtukana behind ur screen inaonesha ndo what ure n what u do n everthn u do n wish for! Pliiz.
Live ur life n let them waishi maisha yao!!!
Period..
Mkuu hako ni ka-typing error tu.Nilijiuliza 'chademe' ndo nini .. kumbeee!
Hawa ni kina nani jama?mtu kauliza nyie mnalumbana,nini?