Kumbe wanabadlika hivi...

Kumbe wanabadlika hivi...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
mxcpgirlfriend2wife.gif

Wakati wa UCHUMBA na baada ya NDOA...
Click picha ona animation
 
kwanini mnapenda kuzitazama ndoa +wanawake kwa mtazamo hasi kiasi hiki?
 
Kama vipi?! Weka nawe mada ya hivi ambayo ni CHANYA...

easy mkuu!nililomaanisha ni kuwa mara nyingi wanawake na ndo vinatazamwa kama ni mbya 100%,hebu imagine hiyo picha inalinganishwa na mwanamke jinsi anavyobadilika!yani kweli mwanamke baada ya ndoa anakuwa sawa na shetani sijui jini la aina gani!?sidhani!
 
We jaribu kupost uzi unaom potray mwanaume negatively uone utakavyoshambuliwa kama mpira wa kona!
 
...kama mkeo amekuudhi ongea nae..sio kuweka picha za ajabu,
 
Back
Top Bottom