BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
jamani lowassa hayumo ktk hii list! wachagga wenzangu wa chadema tuandamaneni hapa arusha ikiwezekana hata kesho! hii list si halali kwakweli, imeniuma babu hayupo nimebaki natoa machozi tu
Umekosea.
Ni 'the land of the free and the home of the brave'.
hiyo ni top 62 tu hao hawamo, aliko ni wa 68Kwenye listi yako Mbona umewasahau hawa Waafrika:
1) Aliko Dangote - $ 18.3 B.
2) Mohamed Al Amoudi - $ 11 B
3) Mike Adenuga - $ 3.8 B
4) Folorunsho Alakija - $ 2 B
5) Patrice Motsepe - $ 1.45 B
6) Mo Ibrahim - $ 1. 07 B
Just to name a few.......
hahahahahahahahahhaahaa lolMabilionea wa Arusha hawapo?
Hiyo list itakuwa fake
China inakuja kwa kasi sananimesoma lakin sijaona china anakuja kwa kasi bali nimeona amerika kaskazini na ulaya wanazidi kuchanja mbuga
Idadi ya watu si hoja, Akili, sheria za biashara na kodi, usalama, taasisi imara pamoja na uzalendo wa Wa USA ndio unaowapa utajiri mkubwa, ukiangalia hata matajiri walioko nchi zingine wanafanya biashara na USA na wanategemea hapo na pesa zao nyingi na uwekezaji uko USA,Marekani ina watu million 400 Y not" India na China zinakuja kwa kasi katika idadi ya kuongeza mabillionare
Usijidhalilishe; Africa pia wapo: Dangote anajulikana zaidi lakini wapo wengine pia kwa mfano Mohamed Ibrahim, Yusuph Manji, Mohamed Enterprises, na wengineo wengiAfrica ni Empty!!!!!!
yep sisi tutabakia kuwepo kwenye profiles na frontpages za ForbesUsijidhalilishe; Africa pia wapo: Dangote anajulikana zaidi lakini wapo wengine pia kwa mfano Mohamed Ibrahim, Yusuph Manji, Mohamed Enterprises, na wengineo wengi
teh!!! teh!!!
Umekosea
UMEPATA!!!!
Nadhani ni bilioni usd not tanzania shilings ina maana matrilionea in madafu.Mabilionea wa Arusha hawapo?
Hiyo list itakuwa fake
Sijapata, nimepatia.
wapo wa msogaMabilionea wa Arusha hawapo?
Hiyo list itakuwa fake
yep sisi tutabakia kuwepo kwenye profiles na frontpages za Forbes
Amakweli hilo nalo ni neno