Aliko Dangote anashika namba 67Katika hiyo list kiwango cha chini ni USD ngapi? Dangote vipi?
Kama watu ndo kigezo china wangetisha zaidiMarekani ina watu million 400 Y not" India na China zinakuja kwa kasi katika idadi ya kuongeza mabillionare
USA baby
BBC Swahili | Pesa ziko wapi duniani? - Pesa ziko wapi duniani? - BBC SwahiliKama watu ndo kigezo china wangetisha zaidi
Soma hyo utanielewa kwanini nasema China inakuja kwa kasiBBC Swahili | Pesa ziko wapi duniani? - Pesa ziko wapi duniani? - BBC Swahili
LAND OF THE FREE; LAND OF THE BRAVE!!!
AMERICAN DREAM----- NYANI ANAOTEA HIYO KUNA SIKU ATAPATA TOMBOLA!!!
Kwenye listi yako Mbona umewasahau hawa Waafrika:Watu 62 matajiri zaidi duniani nusu yao wanatoka marekani, 17 barani ulaya na waliosalia wanatoka mataifa ya China, Brazil, Mexico, Japan na Saudi Arabia.