Kumbe waliofukiwa Bulyahulu 1996 kulikuwa na mkono wa JMK

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Jamani nimepitia website ya CDM, kwenye ile list of shame. Naona Mkulu alishiriki kuingia mikataba ya madini ambayo iliwaondoa watu kwa nguvu maeneo husika. Kumbe huyu mkulu ndo alikuwa engineerer wa ile issue? Du sasa naona Mwanza na Shinyanga amkeni na Tanzania kwa ujumla. Tulipoteza ndugu zetu wengi ambao walikuwa katika kujitafutia maisha. Truely, we are living in a crazy world.Check mweneyewe

Orodha ya Mafisadi (List of Shame)
 
aisee!! ulikuwa dunia ya wapi mpaka ukawa hujui?? kama ulimpigia kura yako wahi ikulu ukaidai fasta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom