Sio "ccm yawindwa" ni "Ccm ya winner"Mnakumbuka ule wimbo wa Kapten Komba wenye kiitikio "Watanzaniax2 CCM yawindwa?"..
Kuna wazee wanataka kuongoza au kua Viongozi wa Tume ya maridhiano baada ya hiki kiini macho wanachoita uchaguzi hao wazee walikua na heshima lakini wamejivunjia heshima yote tuwakatae by Polepole kabla ya kutekwa Butiku na Lipumba ni vituko sanaPress ya mwisho ya Polepole kabla hajatekwa aliongea mipango yao yote.
Fatilia mkuu.
Huo ndo ukweli na dalili zote zimeshaonyesha CCM inaondoka madarakani kwa kumwaga damu sio box la kura hiyo ilikua October 29 Ndo ccm imejifichua kwamba haiwezekani kuondoka madarakani kwa kura Wewe na vurugu zote Rais kashinda kwa 97% watu Milion 30 wamempigia kura na vurugu zote sasa hiyo ndo Ishara kwamba itaondoka madarakani kwa nguvu ya Umma na Mauaji ya watuMfumo ovu hauwezi kufanya mageuzi yoyote yatakayohatarisha uhai wa mfumo huo.
CCM will never ever bring meaningful reforms willingly!
Ni lazima watolewe kwa nguvu ama na jeshi au wananchi au ushirikiano wa jeshi na wananchi.
That's the only way.
Naskia askofu Mwamamkula naye kashapangwa. Shoo anafahamika. Ni Bagonza tu wameshindwaSasa ni wazi hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya ama kujua matokeo
Tuliambiwa na redio mbao kabla ya uchafuzi kwamba ushindi utakuwa asilimia 97+ tukadhani fix.. Kwa mshangao wa kushangaza ikawa kama ilivyosemwa
Kabla Pole pole hajapotea alisema timu ya maridhiano na wakuridhiana walishapangwa
Mwisho wa wiki hii ndani ya bunge la mchongo tukaambiwa maridhiano yanakuja.. Kelele zikawa nyingi sana mitandaoni.. Lakini trust me hakuna Kitakachobadilika.. Wanasema ni kelele za chura haziwezi kumzuia tembo kunywa maji
Tuwe tayari kuwashangaa watakaojifanya kushangaa kuchaguliwa kwenye timu ya kuridhiana...!
Wiki ijayo itawashangaza wengi..
Mwamakula kashtukia deal.Naskia askofu Mwamamkula naye kashapangwa. Shoo anafahamika. Ni Bagonza tu wameshindwa
Naskia kasogezewa mabillionMwamakula kashtukia deal.
Huo ndo ukweli na dalili zote zimeshaonyesha CCM inaondoka madarakani kwa kumwaga damu sio box la kura hiyo ilikua October 29 Ndo ccm imejifichua kwamba haiwezekani kuondoka madarakani kwa kura Wewe na vurugu zote Rais kashinda kwa 97% watu Milion 30 wamempigia kura na vurugu zote sasa hiyo ndo Ishara kwamba itaondoka madarakani kwa nguvu ya Umma na Mauaji ya watu