nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Kwa muda mrefu kumekuwa Na ubishani wa kuzidiana mambo kadha wa kadha Kati ya watanzania Na wakenya, lakini Mimi Kama mtanzania nimelazimika kukubali wakenya kwa walipofikia katika hili wametuacha mbali, Hongera jirani!.
Kwa ufafanuzi zaidi video inajieleza...!.
Kwa ufafanuzi zaidi video inajieleza...!.