PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

PostGE2025 Kumbe wahalifu wa makosa dhidi ya binadamu wanaweza kukamatwa na Interpol

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,931
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata.

Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol.

Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
 
20251128_133417.jpg


20251128_133421.jpg
 
halafu uzuri ni kwamba hakuna nchi afrika kihistoria iliyokuwa na kimbele mbele cha kujiunga na hizi international organizations kama yetu, sisi ni wanachama wa jumuiya kama zote tena watiifu, mpaka hata arusha kulikuwa n mahakama ya kimataifa, hivyo sisi ni international haswa kwa hiyo international law ina free range hapa kwetu na itauma vilivyo bila ya kipingamizi chochote ...
 
Back
Top Bottom