Kumbe wabunge wa CHADEMA ni muhimu sana Bungeni?

Baada ya Wahuni kuondoka Bunge limekuwa safi, Wabunge wanatoa hoja na kusikilizwa bila kelele. Silinde na Lijuakali walichangia vizuri sana kwa hoja nzito na maswali mazuri. Mbowe big up endeleea kuweka hao wahuni mtaani ndio sehemu yao sahihi
Wahuni ambao spika na makonda wanalazimisha warudi bungeni hivi unaakili kweli
 
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki sana kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.
nawashauri wabunge wa Chadema na upinzani kwa ujumla waitumie hii fursa vizuri.

warejee bungeni halafu wakatimue vumbi kwa ma speech ya maudhi kupitiliza ili Ndugai mwenyewe awatimue kutoka bungeni.

yaani wahakikishe wanatema sumu kali sana ya kumuumiza Ndugai hadi ashindwe kuvumilia.

wakafanye fujo za kufa mtu mule bungeni hakuna namna - maana spika amedhihirisha ni mhuni fulani kwa hiyo lazima afanyiziwe kihuni huni hivyo hivyo!!
 
Wagonga meza walio wengi wakichangia mswada muda mwingi wao ni kusifia sifia ka vihiyo,
Wanasahau hata kuongea matatizo ya wananchi wao.
 
Kila wakati wabunge wa CHADEMA wanapoamua kutoka Bungeni na kutokushiriki vikao ya bunge huwa naiona taharuki kwenye chombo hicho na kwa jamii kwa upana wake!!

Hata kwenye Bunge la Katiba kitendo cha wajumbe toka CHADEMA kwa kushirikiana na wajumbe wengine kususia vikao vya Bunge lile, Katiba Mpya haikupatikana!! Kwa mtazamo wangu ni kwamba bila ya wabunge wa CHADEMA mambo huwa hayaendi sawa kwenye bunge.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba wabunge wa CHADEMA ni bora zaidi kuliko lundo la wabunge wa CCM walioko Bungeni. Maana umuhimu wa wabunge wa CHADEMA utauona pale wanapokuwa hawapo bungeni. Kila Mbunge wa CCM akisimama huwa analalamika ni kwa nini wabunge wa CHADEMA hawapo bungeni.
Chadema ina intelijensia kali baada ya kugundua kuwa kulikuwa na mpango wa makusudi wa kuambukiza Chadema covid-19 wakajiondoa haraka. Sasa mafisi yanahaha. Toka lini Ndigai akawapenda wapinzani?
 
Nawasikitikia wapiga kura wao tu,
Yote kwa yote warudishe posho ndio raha ya kususa.
Wapiga kura wamefanya nini. Mlishasema hampeleki miradi ya maendeleo kwa majimbo ya wapinzani ndio kwanza imebaki miezi miwili tu hao wananchi watapata nini. Mbona mnalia lia si mlikuwa mnawafukuza. Sisi wananchi tuko pamoja na vuongozi wetu. Wako karantine. Mnalilia wanaohisia covid?? Heheee
 
nawashauri wabunge wa Chadema na upinzani kwa ujumla waitumie hii fursa vizuri.

warejee bungeni halafu wakatimue vumbi kwa ma speech ya maudhi kupitiliza ili Ndugai mwenyewe awatimue kutoka bungeni.

yaani wahakikishe wanatema sumu kali sana ya kumuumiza Ndugai hadi ashindwe kuvumilia.

wakafanye fujo za kufa mtu mule bungeni hakuna namna - maana spika amedhihirisha ni mhuni fulani kwa hiyo lazima afanyiziwe kihuni huni hivyo hivyo!!
Unataka wafe na Corona kwa sababu ya ego tu
 
Back
Top Bottom