Kumbe Volkswagen Beetle ndio inakimbia hivi?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,029
16.jpg

15.jpg

02.jpg

06.jpg

Dah!! haya magari nilikuwa nayachukulia poa na kama yanakimbia sana ni 220!! sasa hii ni balaa na hapa sijui ni gear ngapi?
 
Ni kweli gari hii unayoiona ndio VW ya Mwisho kabisa kutengenezwa, gari hii ilitengenezwa 2003 huko Brazil, kwa sasa iko makumbusho, kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Unapenda kujuwa habari za Mgongo wa Chura?
 
napenda sana mkuu na generally huwa napenda sana habari za magari na hata hii nimeiona mtandaoni nikawa so intersted,.
 
Max speed hapo ni 120km/h check vizuri kaka hapoa wamesema ni 1/2km/h
 
Kuna chombo inaitwa Volksiwagon golf,jamaangu anayo,2000CC,Maximum speed=260km/h.
 
Ukiangalia vizuri hii odometer unagunduwa maximum speed ni ngapi?
hapo ni kuwa maximum speed ni 160 maana inaenda 1/2km/h, sasa ni kwanini walifanya hivi? mie niljua kuwa watu feki hivi ni wachina tu eg; Nokla= Nokia, Panasoanic= Panasonic sasa kumbe hata VW nao ni sanaa tupu. anywaya kama kuna ufafanuzi zaid kama huu naukaribisha @multmandalin ​na wengine
 
nothing fake there unless you hates mathematics ,you were impressed aren't you? that was the aim! stay impressed by mgongo wa chura !
 
Back
Top Bottom