MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Nipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!Niwaombe waandishi wa habari watembelee viwanda vya cement nchini kuona Kama vipo hai au vimekufa then watuhabarishe.
Ushahidi uliopo ni kwamba viwanda vimefungwa kwa kufilisika na Sasa vinajaribu kukusanya fedha vianze uzalishaji upya.....tusitegemee Bei kushuka na hii inatokea kutokana na madeni makubwa waliyokuwa nayo na ambayo serikali ilielekeza yalipwe kwa kipindi flani hivyo bado wanalipa madeni ya serikali....nadhani serikali inalojukumu la kusaidia viwanda vifufuke upya
Sent using Jamii Forums mobile app
kati ya wewe na Mwijage tumuamini nani ?Nipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!
Usilete siasa na Suala la UjenziNipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!
Wewe uko soko matola mimi nakupa taarifa za bunju Dsm cement ipo kibao!kati ya wewe na Mwijage tumuamini nani ?
Fika bunju punguza maneno mengi!Usilete siasa na Suala la Ujenzi
Maana ni watanzania wengi wameajiliwa na kujiajiri kupitia ujenzi
Mim nataka mifuko 120
Kwa bei hiyo Cement ya Twiga +
Na nimemaliza kazi juzi juzi tu
Mapinga Bagamoyo
So bei hiyo imeanza lini?
Namba yngu ni 0652 881 000
Sent using Jamii Forums mobile app
na Mwijage yuko wapi ?Wewe uko soko matola mimi nakupa taarifa za bunju Dsm vement ipo kibao!
Acha porojo piga cm nataka mifuko 120Wewe uko soko matola mimi nakupa taarifa za bunju Dsm vement ipo kibao!
Niunganishe na muuzaji anileyee hapa GobaFika bunju punguza maneno mengi!
Kuwepo Kwa cement siyokuwa kiwanda kinazalisha unayoiona ni ya kutoka store hata juzi juzi tairi za general tyre zilikuwepo lakini kiwanda nilikuwa kimefungwa zaidi ya miaka 20Nipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!
Itakuwa umevuta bhange chokaa unaona cementNipo hapa bunju cement ya Twiga ipo kibao bei sh 13,000//= acha urongo wewe!
Kwanini Simba-Tanga na Tembo-Mbeya havitajwi kwenye hili sakata? Ni kwamba vimekufa au ndio vinazalisha vizuri bila shida yoyote?
Sent using Jamii Forums mobile app