Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,994 Reaction score 38,355 Jan 7, 2025 #81 Extrovert said: Watoto hupata kwenye vyoo vya shule ambapo ni kuchafu. Click to expand... Juzi mtoto wa miezi 9 amekutwa na UTI jirani kwetu huku, au labda alipata kwa mama
Extrovert said: Watoto hupata kwenye vyoo vya shule ambapo ni kuchafu. Click to expand... Juzi mtoto wa miezi 9 amekutwa na UTI jirani kwetu huku, au labda alipata kwa mama
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,657 Jan 7, 2025 #82 Huyo kapata kwa mama yake
G guest-1788672427 Guest Jan 7, 2025 Thread starter #83 Mshana Jr said: Usiku mwingine mrefu ni wa kulala njaa.. Niliwahi kunywa panadol na 🤣colgate ili kupoza njaa lakini wapi.. Usiku wa njaa simuliwa tu na wengine Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Mshana Jr said: Usiku mwingine mrefu ni wa kulala njaa.. Niliwahi kunywa panadol na 🤣colgate ili kupoza njaa lakini wapi.. Usiku wa njaa simuliwa tu na wengine Click to expand... 🤣🤣🤣🤣