Kumbe usiku ni mrefu hivi?

Mi niliumwa macho ilikuwa saa 9 sijui usiku ,sijui alfajiri ila mpaka kufika saa 12 asubuhi niliona kama Week.Mpaka nilijifunga kamba za kiatu kwenye macho lakini wapi.Madaktari walipwe hata milioni 10 sawa tu.
😁😁😁😊
 
Hio ni GC=GONOcoccus=NEISSERIA GONORRHOEAE. AKA GONO
 
Pole sana.Ni bahati mbaya ugonjwa hauchagui muda.Ni vizuri kuwa na vituliza maumivu wakati wote kama tahadhari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…