Kumbe usiku kuna mambo

Kwa nini haya mambo ni africa na bongo tuu??? Ulaya hamna hivi vitu hata utembee usiku mnono sana sana utakutana na walevi wenzako na polisi tu..kazi kweli kweli.
 
Mkuu nakuamini hivyo vitu viko.
Kawaida ukivisema hadharani lazima uletewe kejeli. kama ulevi Na uvutaji wa majani.
Kila siku najiuliza zile sinema zinazo toka Ughaibuni kuhusu uchawi Au majini wamezibuni au walisikiliza maoni kama yako?
Hivi vitu naamini viko Na sio kila mtu anaouwezo wa kuviona.
 
kuna Makosa umefanya ungeenda kutoa kampani kwa hao watu kuwasaidia na kupumzika hapo mahali kupata taarifa zaidi yanayojiri huo muda.
 
Bora ata ulihsi ni msiba ukapta ungejua ni majin usingepta wala ucngelala kwa raha
 
Hiyo ndio raha ya Konyagi ya Ukwaju 😀
Kuna Jamaa hapa kitaa tumlikuta anaogelea kwenye dimbwi akidhani Swimming pool
 


Mkuu una undugu na Mh. MziziMkavu, mshana jr? Naona wote mmechanjia kuona wachawi usiku.
 
You were/are suffering from temporary drug induce psychosis crisis or psychedelic psychotic kind of hallucinations.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…