Kumbe US Dollar itashuka thamani duniani hivi punde!!

I think the day the dollar will loose its sole supremacy as the transaction currency in the world market,then its value will start dropping but before then bado sana
Usibishe sn mzee, walikuwa wanafaidika sn wakati nchi yao ina viwanda vingiii af ndo international currency, ss gharama za uzalishaji nchini mwao ni kubwa sn, ili kurudisha gharama chini lzm wapunguze thamani yao, vilevile china ss wanakubali transaction kufanyika kwa hela yao, sio lazm usd. Unakumbuka waliilazimisha japan na china kuongeza thamani ya hela zao ili nao gharama za uzalishaji ziwe juu?
 
Labda hili litarudisha heshima ya Shilling yetu ambayo hata serikali ya Tanzania inaisahau kwa kuabudu dollar

Mkuu so long as tunaongozwa na vichwa maji hata ishuke vp bado wataendelea kuiabudu tu
 
Wakuu hiyo ni habari nzuri tukiiangalia kwa jicho la importers (Na bahati mbaya hapa wengi tunafikiria kuwa vitu tunavyoagiza mfano magari,vipuri n.k vitashuka bei kitu ambacho sio kweli kwani kama hazitengenezi Marekani basi zitapandishwa bei kufidia exchange rate loss!!!!!) Lakini kama tutaiangalia kwa jicho la exporters itamaanisha bidhaa zetu zitakuwa bei juu nje ya nchi kama tutaziuza kwa dollar Ila vilevile tusisahau kuwa wamarekani wana ona ufahari kwa hela yao kuwa hela yenye nguvu duniani inayotumika takribani duniani kote sidhani kama wataishusha thamani sana hadi kupoteza umaarufu wake na umuhimu wake so Time will tell Wakuu
 
Back
Top Bottom