Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,053
- 5,812
- Thread starter
- #21
Upo sahihi k
Upo sahihi Kaka, hichi kizazi cha sasahivi nafikiri, ubishi unaweza kubadilisha nature..Baba ana nguvu sana kuliko mama! Mama anaushawishi tu. Ukisoma biblia vizuri utakuta baraka za Mungu kwa watoto, zimepitia kwa baba zao na si mama. Hivyo basi kwa ufupi tu, hata laana, ya mama haipo kabisa. Laana baba ndie anaweza kutoa vile vile na baraka pia.
Siku hizi tunatishana sana eti laana ya mama mbaya sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mama hana kitu zaid ya upendo tu kwa watoto. Baba anavyo vyoote.