Kumbe uongozi wa Yanga....

Kumbe uongozi wa Yanga....

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
Bango linajieleza.......
(Hii ni kwa mujibu wa Mashabiki wa Simba a.k.a Lunyasi)

attachment.php

Habari nilizozipata muda nikipandisha post hii ni kuwa hawa Jamaa wanatamani ingekuwa inawezekana kushusha hilo bango kwenye hii still picture,lkn ndo haiwezekani kabisa.
Watani Midomo hiyo,midomo jamani....
 
Attachments

  • 3.JPG
    3.JPG
    42.5 KB · Views: 280
Not clear still.

Jamaa anajaribu kuwatia hasira wanazi wa Simba baada ya kupokwa Mbuyu Twite.
Hilo bango lilikuwa limeshikiliwa na mmoja wa mashabiki wa Simba siku Ngassa alipokuwa akitambulishwa mtaa wa Msimbazi, mshabiki huyo alikuwa na maana kuwa Yanga wamepigwa bao 1 kwani pia walikuwa wakiwania saini ya Ngassa wakati huo huo.
 
We jamaa mleta mada haujitambui kbsa,bango umelielewa ama unapost mambo usiyokua na uelewa nayo!?kwani uongo?? uyo ngassa mlimpata??manji and family sports club...
 
We jamaa mleta mada haujitambui kbsa,bango umelielewa ama unapost mambo usiyokua na uelewa nayo!?kwani uongo?? uyo ngassa mlimpata??manji and family sports club...

acha kupoteza muda kujadili tpoic za huyu jamaa,,,,,sidhani kama ana hata form4 huyu....
 
Baada ya Mbuyu Twitte kurudisha vihela vya msimbazi tutegemee bundi kulia
 
Okwi tayari amenukuliwa na gazeti la Championi la leo kuwa pamoja na kuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba lkn bado haja'sign kukipiga msimu uliopita na hategemei ksbb anategemea asepe zake kwenda kujaribu bahati nyingine kule Ulaya ambapo alichemka,ingawaje hakuweka bayana lkn inaonekana Simba bado wanasuasua kumkamatisha fungu alilolihitaji na yeye ameanza kufikiria otherwise.
Kunani pale Simba?
 
Ya Simba waachie wanasimba wenyewe,we jamaa vipi....???
Kila kukicha hapa unaweka post 'simba ....simba,.....simba...'
Ndo maana soka letu halikui...
Yaani we mtu kwa kufuatilia habari za simba tu,nimekukubali aisee....duuuh!!!
The Magnificient !
 
Last edited by a moderator:

Itachukau Muda Mrefu sana Kusahau Hii MamboSimba baada yatwaa ubingwa1-5.jpg​
 
Back
Top Bottom