Kumbe uhuru wa kusema una mipaka yake

Kumbe uhuru wa kusema una mipaka yake

Zeni2017

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
1,247
Reaction score
534
"Freedom of Speech means that someone's right to say something is protected within certain limits. A person may have to suffer consequences for saying some things, but they still have the right to say them. For example, it is against the law to yell, "FIRE," in a crowded place because someone may get injured."


"Uhuru wa kusema unamaanisha haki ya mtu kulindwa kwa anachokisema ndani ya mipaka fulani. Mtu anaweza kupata matatizo kwa maneno anayoyasema lakini bado ana uhuru wa kuyasema. Kwa mfano ni kinyume cha sheria kupiga kelele "motooo"katikati ya umati wa watu kwa sababu unaweza kusababisha watu kuumia".
 
Ume waza nn mkuu

sending using jamiiforum makinikia
 
Your right"
Awamu hii tutajua tu 'FIKIRI KWANZA NDIPO USEME!!!
 
Ndio, tunadhani ile awamu ya kula maharage na kuropoka Kikwete dhaifuuu
 
Hata Trump walimsema kwa kumchagua mume wa mwanae. Lakini alieleza sababu hakuweka mtu ndani. Ilihitaji utafiti wa harak nakujibu tu.
 
Uhuru wa kuongea au kutoa maoni una mipaka. Si kwamba unaruhusiwa kuongea chochote sehemu yeyote. Uhuru wa maoni /kuongea unatakiwa uendane na sheria za nchi - Ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Tz iko wazi kwa hili.
 
hilo liko wazi kabisa mkuu, we huwezi kuongea vitu vya kipuuzi ukweni
 
Back
Top Bottom