Kumbe Uchawi is Real and Effective......

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Thief surrenders to Bungoma police after bees sting him out of stolen car

1586262.jpg

[color= #A9A9A9] Francis Sikadigu who surrendered himself to police after being attacked by a swarm of bees in Bungoma, June 25, 2017. /JOHN NALIANYA[/color]

Police in Bungoma are holding a Ugandan national who surrendered himself to police that he had stolen a car.
The man rushed to the station after a swarm of bees attacked him as he attempted to get away with the vehicle.

Francis Sikadigu is said to have been attacked by the bees as he was driving the car which was suspected to have been stolen.
He caused a scene after rushing to Bungoma Police Station with the bees following in tow.
Sikadigu then rushed out of the police station and sought a traditional healer in a bid to be set free from the bees.
John Wafula, the vehicle's owner, said he was approached by the suspect who claimed he wanted five cars for hire on Friday.

He said they met at a hotel in town to discuss the terms for the car hire with Sikadigu who claimed he had a five-day contract.

Wafula claimed that Sikadigu had insisted that he wanted the Toyota Premio and Axio latest models for his clients.
"I gave him a quotation of Sh5,000 per car for each of the five days."

He said that when he came back to the negotiation table, he continued sipping his juice and noticed that he had started feeling dizzy.

Wafula said that he found himself in hospital on Saturday and then noticed that his car keys were missing.
"I approached a traditional doctor who assured me that my car will be found in three days," he said.

"The traditional medicine man assured me that the suspect will not leave Bungoma town and will be attacked by bees."
After he was set free from the bees, the man was arrested and taken to Bungoma police station for interrogation.

Bungoma South OCPD David Kirui said they are still investigating the matter.

Thief surrenders to Bungoma police after bees sting him out of stolen car
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,090
2,000
mkuu nahisi uandishi wangu ndo umekaa vibaya,komenti yangu haikuwa na muktadha wa kupinga taarifa bali ni angalizo tu.Hao wadudu sio wa mchezomchezo,washanilaza hospitali hao,watu tulikimbia mazikoni tukamwacha marehemu,nikikutana na habari inayowahusu huwa inanipa ukakasi,naisoma kwa heshima

Hehehe! Umenikumbusha mbali aisei, kipindi tukiwa wavulana halafu tukajifanya wababe kwa kupiga mzinga wa nyuki kwa mawe. Nyuki walitushukia yaani mengine ni historia maana wale wadudu hawapendagi ujinga, ni wa kukaa mbali nao.

Lakini taarifa za huu uzi zinaeleza kisa cha jamaa raia wa Uganda kufuatwa na nyuki, yaani yeye tu hadi akaingia kwenye kituo cha polisi lakini wakamfuata humo, akachomoka nduki hadi kwa mganga ndio ikawa pona yake na hatimaye akakamatwa.
Hii ni baada ya mwenye gari aliloiba kupata huduma za mganga ambapo aliambiwa asubiri nyuki watamsaidia kupata gari lake.
Haya mambo hata Wanasayansi hawana uwezo wa kuyapa tafsiri.
 
Hebu, (hapo kwenye blue) nimesoma hii comment mara pili.......LOL!!!!!
 
titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,596
2,000
Hehehe! Umenikumbusha mbali aisei, kipindi tukiwa wavulana halafu tukajifanya wababe kwa kupiga mzinga wa nyuki kwa mawe. Nyuki walitushukia yaani mengine ni historia maana wale wadudu hawapendagi ujinga, ni wa kukaa mbali nao.

Lakini taarifa za huu uzi zinaeleza kisa cha jamaa raia wa Uganda kufuatwa na nyuki, yaani yeye tu hadi akaingia kwenye kituo cha polisi lakini wakamfuata humo, akachomoka nduki hadi kwa mganga ndio ikawa pona yake na hatimaye akakamatwa.
Hii ni baada ya mwenye gari aliloiba kupata huduma za mganga ambapo aliambiwa asubiri nyuki watamsaidia kupata gari lake.
Haya mambo hata Wanasayansi hawana uwezo wa kuyapa tafsiri.
truu,wapewe heshima yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom